Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Kwa hiyo unatushirikisha takataka Sisi tufanye nayo nini?Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo.
Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu.
Kwa nini hauoi na una miaka 47.
Jamaa kachukia sana. Leo kafikia kwangu toka Safari na kibegi chake cha mgongoni. Kaanza kufakamia tu. Katoa msimbazi tukapika ugali na Sangala mkubwa.
Karibuni Chato hasahasa maeneo ya Kachwamba.