georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Napata mashaka na Mwalimu aliye andika thread hii! Content haija kaa sawa sawa kabisa! Lugha iliyotumika kwenye baadhi ya maneno haisadifu umahiri wa Mwalimu kabisa! Angalia neno Procedure, angalia kuna mahali ameandika AKA akimaanisha Also Known As! Yaani kama kwenye FB![/QUO
Ili upate nafasi ya kusomea ualimu sifa kuu ni uwe na Div. 4 . Mtu mwenye division four-ambaye hakuipata kwa bahati mbaya- hana tofauti na huyu jamaa aliyeleta hii post hapa.
Pikipiki sio Yangu ni wazungu walikua wanatembea Saadani nkawaomba kamera nkaweka memory
Naombeni Ushauri Mana Nimekaa Porini miaka4 na Sasa Inakua kama Sijaripoti Kabisa
Ni kua Huko ni Ndani ya Hifadhi ya taifa ya Sadani ndio maana unaona wazungu.Na wanyama hao wapo na Hilo ni jiko la kupikia.Picha zote ni za Matipwili ma Mungu ni Shahidi Yangu.
anamaisha mazuri kijijini anakula mkate na nyama kibao ngoja wakusikie utajuta utakapopelekwa unatania watu?unamiliki pikipiki mwl.. Halafu unalalamika unashindia mkate ..you cant be serious mwl bwanaa...
Nipo Chuo kikuu ntaimbaje