Mwalimu mwenzenu naonewa.bofya ufaidi

Mwalimu mwenzenu naonewa.bofya ufaidi

Napata mashaka na Mwalimu aliye andika thread hii! Content haija kaa sawa sawa kabisa! Lugha iliyotumika kwenye baadhi ya maneno haisadifu umahiri wa Mwalimu kabisa! Angalia neno Procedure, angalia kuna mahali ameandika AKA akimaanisha Also Known As! Yaani kama kwenye FB![/QUO

Ili upate nafasi ya kusomea ualimu sifa kuu ni uwe na Div. 4 . Mtu mwenye division four-ambaye hakuipata kwa bahati mbaya- hana tofauti na huyu jamaa aliyeleta hii post hapa.
 
Naombeni Ushauri Mana Nimekaa Porini miaka4 na Sasa Inakua kama Sijaripoti Kabisa
 
Naombeni Ushauri Mana Nimekaa Porini miaka4 na Sasa Inakua kama Sijaripoti Kabisa

kha! we noma.Yaani masufuria yapo jikon we WATUDANGANYA eti DARASA HILO.WE SIO MWALIMU USIJIPE SIFA USIZOKUWA NAZO!
 
Hilo ni Jiko,nlisoma Diploma Marangu Teachers2008,kwa sasa nipo chuo kikuu Dar es Salaam
 
Kwa maelezo 0759063942+0712336687
 
kwani mtu kueleza hisia zake na ugumu wa maisha anaoface ni dhambi? kama ni ujumbe umefika kaka wakiguswa watajirekebisha na by the way kumiliki pikipiki sii dhambi kwa waalimu
 
Mimi kwa sasa nipo chuo ila mshahara wamekata,pikipiki sio issue mana hela sina na wamenifanyia umafia
 
Ukiweza tumia kipaji binafsi mbali na kazi,au ingia kwenye mziki utatoka tu
 
Nipo Chuo kikuu ntaimbaje
 
Nikipata Mashine gani hakika ntamuua mtu fulani anayenizua mshahara wangu,namfyatua na mimi najimaliza
 
naona u meamua kuuza sura, haya uza bana!




e4d11255037bea21895437117ad0cf84.jpg
Ni kua Huko ni Ndani ya Hifadhi ya taifa ya Sadani ndio maana unaona wazungu.Na wanyama hao wapo na Hilo ni jiko la kupikia.Picha zote ni za Matipwili ma Mungu ni Shahidi Yangu.
 
Sio kua nauza sura naomba ushauri wenu
 
unamiliki pikipiki mwl.. Halafu unalalamika unashindia mkate ..you cant be serious mwl bwanaa...
anamaisha mazuri kijijini anakula mkate na nyama kibao ngoja wakusikie utajuta utakapopelekwa unatania watu?
 
Mbunge wenu si ndio Waziri wa elimu au ajafika uko kijijini ukamuelezea matatizo yako...
Nina wasi wasi mkubwa wewe si mwalimu,Pole sana
 
Asante me sipo huko,niliomba ruhusa ntafute Bachellor ndo nilipondoka sina mshahara miaka2
 
Nalaani Tanzania ipate mazoooooo....350,000.Nitafurahi sana,kwa raha ntakula kinyesi
 
Back
Top Bottom