A
Hii anafanya haina tofauti na money extortion.Mwalimu angejua kuwalazimisha wanafunzi kutoa kazi kwake ni bomu angeachana nao tu, nia yake apate kazi ila hajui sisi watanzania tuna ubinafsi mwingi. Wachache watasema huyu ni mwalimu wetu tukatoe kwake.
Atakuwa CR huyo bwana!Yaani kama huyu ni muhadhiri na uandishi wake mbovu hivi, basi tutazidi kukiua kiswahili chetu kwa kasi ya 5 G.
Vyama vya wanafunzi siku hizi vina kazi gani kama kila uchao wanafunzi mnakuja kulialia hapa?Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa yangu Ila bado natakiwa nitoe tena hela ya kuprint
Bado haitoshi Ata Kama assignment ni ya group Ila anataka kila Mtu aprint kivyake hapo hapo stationary kwake
Inatuumiza Sana hii.
View attachment 3613723
View attachment 3613724
Kabisa, yani ni kama chuo hakina uongozi, natamani nione sura lake huyu mshenziHii anafanya haina tofauti na money extortion.
Ujambazi mkubwa.
Kuna vijana wengi masikini Sana wanajilipia au wanategemea mkopo huo huo walipie direct cost za chuo.
Wengine wapate ya kusaidia ndugu zao.
Yeye analipwa mshahara kwanini awatendee hivyo vijana?
Huyo ni CR bila shaka, sio lecturerYaani kama huyu ni muhadhiri na uandishi wake mbovu hivi, basi tutazidi kukiua kiswahili chetu kwa kasi ya 5 G.
Chuo ulichosoma ulikua na wajibu wa lazima wa kuprint kazi zako kwenye stationery ya mwalimu?loan si mnapata kwajili hiyo gentleman?
hebu timizeni wajibu wenu kama wanafunzi bila manung'uniko, na itapendeza zaidi 🐒