Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Hii shida ipo sasa karibu taasisi zote za elimu za umma.Kabisa, yani ni kama chuo hakina uongozi, natamani nione sura lake huyu mshenzi
Sekondari za kata kuna ujambazi wa remedial za kulazimisha na bado hawafundishi huku wamechukua pesa.
Fikiria toka mwezi wa kwanza (January) hadi wa Sita (June) wanafunzi wa kidato cha Kwanza Matosa Secondary Goba, DSM wamesoma topic moja tu ya Basic Math ya Numbers?!
Muda wa darasani wote, na wa remedial saa 12 asubuhi na jioni remedial class tena bado wapo nyuma hivyo. Wanarudi nyumbani na giza.
Waziri wa elimu yupo nchi hii?
Waziri wa mambo ya Ustawi wa jamii jinsia na watoto yupo nchi hii?
