Hii shida ipo sasa karibu taasisi zote za elimu za umma.Kabisa, yani ni kama chuo hakina uongozi, natamani nione sura lake huyu mshenzi
Gentleman,Chuo ulichosoma ulikua na wajibu wa lazima wa kuprint kazi zako kwenye stationery ya mwalimu?
Usenge mwingi sana hii nchi, kila kona ujambaz.Hii shida ipo sasa karibu taasisi zote za elimu za umma.
Sekondari za kata kuna ujambazi wa remedial za kulazimisha na bado hawafundishi huku wamechukua pesa.
Fikiria toka mwezi wa kwanza (January) hadi wa Sita (June) wanafunzi wa kidato cha Kwanza Matosa Secondary Goba, DSM wamesoma topic moja tu ya Basic Math ya Numbers?!
Muda wa darasani wote, na wa remedial saa 12 asubuhi na jioni remedial class tena bado wapo nyuma hivyo. Wanarudi nyumbani na giza.
Waziri wa elimu yupo nchi hii?
Waziri wa mambo ya Ustawi wa jamii jinsia na watoto yupo nchi hii?
Hivi Kwanini tunapenda sana kulea, kuendekeza, na kuficha madudu.Sasa si mumpige tafu mwalimu wetu.Vitu vidogodogo hivi unapiga mwayo: Utasurvive mtaani kweli wewe, labda ukaajiriwe huko,: mtaani huku mtu anakupa tender, na pesa ni kama mnagawana sawa tu..na maisha yanaenda.
Maisha sio mepesi mtaani huku,
Halafu hiyo si suala la kumalizana huko huko, mnashindwa kwenda kwa CR, kwenda kwa Dean??Mbona simple sana.
Jifunzeni kutatua matatizo yenu kimyakimya,
Lengo lake ni jema kujiongezea kipato kupitia kile ameanzisha, kosa lake kuwafosi waende kwake.Hii anafanya haina tofauti na money extortion.
Ujambazi mkubwa.
Kuna vijana wengi masikini Sana wanajilipia au wanategemea mkopo huo huo walipie direct cost za chuo.
Wengine wapate ya kusaidia ndugu zao.
Yeye analipwa mshahara kwanini awatendee hivyo vijana?
WahadhiriWaadhiri wa mwendokasi hao
Kuna kitu hauelewi.Gentleman,
nilikua nalazimika kutumia gharama zangu mwenyewe kwenye masuala yote ya stationary.
na katika masuala ya modules, nilikua nalazimika kufuata maelekezo ya muhadhiri mahali pakuzipata kwa gharama yangu mwenyewe.
Zaidi sana,
nilikua nafuata utaratibu wa chuo na maelekezo ya muhadhiri namna ya kufanya group na individuals assignments, lakini pia kufuata utaratibu wa chuo na maelekezo ya muhadhiri juu ya namna ya kuanda research proposal na kufanya research yenyewe. Na yote hayo ni kwa gharama zangu mwenyewe, lakini kwa maelekezo ya muhadhiri.
Gentleman ,
ikiwa unaona elimu ni ghali, jaribu ujinga 🐒
Gentleman,Kuna kitu hauelewi.
Shida siyo gharama. Shida siyo kwamba notisi zinapopatikana.
Shida ni kwamba ili ufaulu inabidi assignment ukaiprint stationery kwa mwalimu.
Kwakua nimeshakuelewesha ninarudia tena swali
Chuo ulichosoma ulikua na wajibu wa lazima wa kuprint kazi zako kwenye stationery ya mwalimu?
Gentleman,
Kitaaluma,
kukiuka maelekezo ya muhadhiri ni ni sawa kabisa na kujikosesha maksi mwenyewe na kujifelisha kabisa mitihani ya nadharia darasani na vitendo mtaani,
na hiyo ikimaamisha hata anachokifundisha inawezekana kabisa unakipinga. Na hiyo ni mbinu ya kisayansi kitaaluma na inatumika sana hata kwenye interviews na watu wanafeli kizembe kabisa kwasababu wako addicted na ubishi usio na maana na unaowaathiri wao wenyewe kwa kujitakia 🐒
Huyu ni CR kwanin mnakomenti hamjamaliza kusoma. Alafu nyie ndio wakanza kuponda watu. Mfano hapo umehukumu bila kujua wahukumu nin?? Taifa la waajinga wengi sana hili mtu anatoa ushauri unazani anaeleea anachoongeaYaani kama huyu ni muhadhiri na uandishi wake mbovu hivi, basi tutazidi kukiua kiswahili chetu kwa kasi ya 5 G.
Asante kwa marekebishoWahadhiri
Gentleman,Share reference inayosema kitaaluma kukiuka maelekezo ya muhadhiri ni sawa kabisa na kujikosesha maksi mwenyewe na kujifelisha kabisa mitihani ya nadharia darasani na vitendo mtaani. Onyesha pia ikiwa maelekezo yanatia ndani kuprint assignment ni lazima kwenye stationery ya mwalimu.
Kama hauna reference waweza sema ikiwa hayo ni maoni yako.
WaIraqw mna tabia ya uoga, kujipendekeza na inferiority complex.Gentleman,
reference ni wewe mwenyewe kugomea instructions za lecture. Goma na ufurahishwe sasa ili upate reference
Nadhani huyo ni class repYaani kama huyu ni muhadhiri na uandishi wake mbovu hivi, basi tutazidi kukiua kiswahili chetu kwa kasi ya 5 G.
U-cr hauhusiani na intelligence. Mara nyingi macr huwa wanachaguliwa watu waliochangamka, wenye confidence ya kuzungumza na wanapenda kujichanganyaCR anaandika mahana badala ya maana? Anaandika xa badala ya za?
Na ndio mmeona ana nafuu darasani kwenu mkampa na u-cr?
wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro
Duh,Bado haitoshi Ata Kama assignment ni ya group Ila anataka kila Mtu aprint kivyake hapo hapo stationary kwake
Inatuumiza Sana hii.