GE2025 Mwalimu: Nilipoaanza walikuwa wananidharau, leo wameona moto wangu hadi wamenza kukaa vikao

GE2025 Mwalimu: Nilipoaanza walikuwa wananidharau, leo wameona moto wangu hadi wamenza kukaa vikao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijui watu wanapata wapi muda wa kupoteza wapi kufuatilia vioja vya watu kama hawa!

Sikutegemea nilipo fungua mada kuwa nitakutana na habari za aina hii. Kichwa cha habari kilinipoteza njia.
 
Salum Mwalimu: "Nilipoaanza walikuwa wananidharau wananichukulia powa, leo wameona moto wangu wameanza kukaa vikao, Watanzania naomba mniombee."
Huu ujinga sasa umevuka mipaka. Kwahiyo na yeye anaamini kuwa anaweza kuwa Rais wa nchi 🤔
Wakati mfadhili wake pia anagombea. Yaani wanatuona Watanzania ni mazuzu kupitiliza
 
Ilikua ni ligi ya wazanzibari sasa ameingia Dr. Mpina, huyu naye ni wamichongo ila ataianika CCM na uovu wake hadharani. Kuanzia kashfa ya sukari isiyolipiwa kodi. Uanachama wa Bashe CCM, Uraia tata wa Bashe lakini kapewa uwaziri nyeti, prince charming anavyojifanya ni zaidi ya waziri, pacha raia pacha n.k
 
Kichekesho! Mwalimu ana nyomi gani za watu wakati kampeni zake zinaonekana kwenye media akihutubia watu wachache magegeni? Yeye ni kikaragosi tu kwenye kampeni hizi wala hana impact kwa wananchi
 
Ha haaa haaa..Vikao vipi?..vya harusi yako na bebi wako,mgombea ubunge Tarime town kupitia Chama Chakavu??
 
Salum Mwalimu: "Nilipoaanza walikuwa wananidharau wananichukulia powa, leo wameona moto wangu wameanza kukaa vikao, Watanzania naomba mniombee."
Hutu jamaa akili zake Huwa nafananisha na za Ahmed ally wa simba..

I bet as a project ayapata teuzi ya ukuu wa mkoa/ wilaya and the likes
 
Nape alisema juzi kuwa mgombea original ni wa CCM. Wengine wote ni photocopy. Sasa wenye akili washajua ni photocopy ya nani na wanamuwakilisha nani. Maana photocopy ni kiwakilishi cha original
 
Back
Top Bottom