GE2025 Mwalimu: Nilipoaanza walikuwa wananidharau, leo wameona moto wangu hadi wamenza kukaa vikao

GE2025 Mwalimu: Nilipoaanza walikuwa wananidharau, leo wameona moto wangu hadi wamenza kukaa vikao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nikiona wakina Mwalimu ndo wagombea najua Tanzania tuna safari ndefu sana kama taifa tumepotea
 
Mmmmmh nan kamdanganya tuna shida na wazanzibar tena
 
Mtoto wa Zanzibar huyo huwe kuna changamoto kwenye mfumo wa haja kubwa
 
WanaCCM tukaze kwenye kampeni maana huyu mwalimu sio mtu mzuri anaweza kupunguza kura za mama tukakosa ushindi wa kishindo.
 
Back
Top Bottom