Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu alikuwa mtu wa ajabu sana. Ukimuweka na wazungu anakaa nao saaaaf, ukimpeleka vijijini anaishi vema tu na watu. Hakika huyu mzee alikuwa ni zawadi ya watanzania kutoka kwa Mungu.
Nilisoma mahali fulani, wazungu waliukubali uwezo wake katika kuimudu lugha ya Kiingereza na aliweza mpaka kutumia misamiati akiwa anatoa mifano.Mwalimu alikuwa mtu wa ajabu sana. Ukimuweka na wazungu anakaa nao saaaaf, ukimpeleka vijijini anaishi vema tu na watu. Hakika huyu mzee alikuwa ni zawadi ya watanzania kutoka kwa Mungu.
Huyu mzee alikuwa genius sanaNilisoma mahali fulani, wazungu waliukubali uwezo wake katika kuimudu lugha ya Kiingereza na aliweza mpaka kutumia misamiati akiwa anatoa mifano.