Mwalimu Nyerere akiwa na John F Kennedy nchini Marekani

Mwalimu alikuwa mtu wa ajabu sana. Ukimuweka na wazungu anakaa nao saaaaf, ukimpeleka vijijini anaishi vema tu na watu. Hakika huyu mzee alikuwa ni zawadi ya watanzania kutoka kwa Mungu.
Nilisoma mahali fulani, wazungu waliukubali uwezo wake katika kuimudu lugha ya Kiingereza na aliweza mpaka kutumia misamiati akiwa anatoa mifano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…