Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Mnaolipwa kijaribu kumchafua JPM sijui mnapewa shingapi, hawa wananchi wanajua sana JPM alikua ni mtu wa namna gani
Unakimbilia kichaka cha 'kulipwa'? That's so cheap. So nanyi chawa wa Jiwe(Sukuma gang) mnalipwa pia?
Wengine hatuna uhusiano au ushirika au uanachama wa chama chochote lakini maovu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa lazima tuyakemee, Jiwe atanangwa kwa udhalimu wake hata vizazi vijavyo vitapata hizo habari.
 
Watu wenye Akili ndogo Kama wewe ndo mnamnanga Magufuli.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hahahhaa
 
JK alikuwa na chuki na Nyerere Hilo kwa wanaofahamu siasa za nchi hii wanafahamu na chuki hiyo ilipelekea hotuba zake kutompa heshima ya Baba wa Taifa
 
Sasa Kuna genge linamtumia Magufuli kumchafua NYERERE na wote wameegemea angle flani ambayo imejificha
 
Kati ya Marais walioharibu nchi hii ni Kikwete ndio maana mfumo ukatuletea Magufuli
 
Kikwete ni malaika mtakatifu bikira kikwete [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahuni wa msoga wana angaika kuzima nyota ya JPM NA NYERERE ILA WAPI ...kamwe awawezi kumfananisha MTUKUFU JPM NA CHEGOVARA WA MSOGA
Wanajitahidi sana lakini hawawezi labda waandike historia mpya lakini hata waandike hawatafanikiwa
 
You can't have USA kwa jamii tofauti.. Wazungu wamepata EU miaka kama 30 iliyopita. Nyerere alikuwa sawa kuwa na EAC ni achievable kuliko kuwa AU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…