Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

You can't have USA kwa jamii tofauti.. Wazungu wamepata EU miaka kama 30 iliyopita. Nyerere alikuwa sawa kuwa na EAC ni achievable kuliko kuwa AU
May be siwezi kubisha maana Nyerere ilikuwa akili kubwa ila na Nkrumah nae hakuwa mjinga,sasa hatujui nani alikuwa kwa maslahi yake au ya africa
 
Nyerere ni bora angepambana burundi na rwanda kuwa sehemu ya tanganyika na sio zanzibar
 
Kila nikikumbuka Magufuli alitaka mitaala ibadilishwe ili asomwe yeye katika historia, yule mzee hakufaa awepo ikulu hata kwa mwezi mmoja
 
Nyerere ni bora angepambana burundi na rwanda kuwa sehemu ya tanganyika na sio zanzibar
Wazenji ni maviii yaheeee ...kazi yao ni unafiki tu na kuzibuliwa mitaro na waitaliano basi ....nitajiwe mzanzibari hata mmoja mwenye akili timamu kama yupo
 
2025 mtapigwa kama ngoma wapumbavu nyie!

Si mmejisalimisha ccm kwa jina la maridhiano
MWENDAZAKE MASALIA lazima mjifariji hivyo!!kwani mlinufaika sana na siasa zile za kishamba!!sasa mama emewachinjia baharini!!2024/25 kwenye s/mitaa na ubunge hamtaamini kitakachotokea!!bunge sasa hivi halina mvuto kabisa,bunge sasa lipo mtaani hapo ndipo patamu
 
Kila nikikumbuka Magufuli alitaka mitaala ibadilishwe ili asomwe yeye katika historia, yule mzee hakufaa awepo ikulu hata kwa mwezi mmoja
Jamaa ilikuwa kituko kweli ,urais wenyewe aliupata KIMAZABE MAZABE tu,je angekuwa ni kama kina MANDELA,NKRUMA,MUGABE!!waliopata tabu kweli kupigania uhuru ingekuwaje?? Nchi angeiita jina lake kabisa!!!
 
Kila nikikumbuka Magufuli alitaka mitaala ibadilishwe ili asomwe yeye katika historia, yule mzee hakufaa awepo ikulu hata kwa mwezi mmoja
Nyie wapinzani mbona hamna Akili magufuli alitaka historia ya Tanzania ifundishwe jambo ambalo ni sahihi ebu jaribuni kutumia Akili hadharani.
 
Wewe unataka kujibiwa Kwa facts wakati hujatoa facts.ukitoa Pumba unajibiwa Kwa Pumba.
I don't blame you, depression huathiri afya ya akili. Baada ya ile mirija ya Sukuma gang kuzibwa na real hustlers kurudi kwenye nafasi yao ya kupigana vita vya utafutaji rizki bila ya kuhofia kuporwa fedha na mali zao wanazozitafuta kwa jasho na taskforce uchwara pamoja na ile mijibwa 'wasiojulikana' mmedhoofika kabisa kwa kuwa hamna tena ile power ya kupora na kudhulimu.
Nchi imerudi kwenye ustaarabu halisi wa Kitanzania.
 
Ndiyo maana alimuweka mpwa pale kwenye chungu.
 
Nyie wapinzani mbona hamna Akili magufuli alitaka historia ya Tanzania ifundishwe jambo ambalo ni sahihi ebu jaribuni kutumia Akili hadharani.
-Angekubali kwenye hiyo historia(the real history) pawepo na topic ya kwamba alituma wasiojulikana wakamuue Lissu lakini zoezi likafeli?
-Angekubali kwenye hiyo historia ifundishwe topic ya kwamba Ben Saanane alihoji uhalali wa PHD yake akidai ya kuwa ni PHD feki lakini ikabidi amuue na kuhakikisha maiti yake haionekani?

Au alitaka pawekwe uongo ili asifiwe yeye huku mabaya yake yakifichwa? Only his side/version of the 'history'?.
 
"The media is the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that is power. Because they control the minds of the masses."


WEWE NI UMBWA KABISA
 
Mimi hata sio kusuma gang Kwanza hakuna kitu kama kusuma gang.mimi najaribu kuwaelewesha nyie ambao hamtumii Akili.
 
hebu thibitisha basi ni nani na nani walipotea katika mazingira ya kutatanisha, lazima utakuwa unayajua majina yao ndiyo ukasema hivyo.

Pili, Dodoma na mradi wa bwawa havikuwa na kipaumbele katika awamu ziizopita na wala havikuwemo katika ilaani ya uchaguzi (au vilikuwepo? maana sikumbuki).

Kuhusu SGR unadhani feasibility study ilifanyika wakati gani hata ikawa tayari kujengwa wakati wa JPM?

Hebu tupunguze kidogo
 
Weka evidence za hizo account kuwa ni zake.Magufuli alichukia wapinzani uchwara tu.Magufuli hachafuliki na hasahauliki mtaendelea kumkumbuka hata kwenye makaburi yenu mkiona Reli ya kisasa,mabwawa na mengineyo mengi aliyoyafanya.
Wapinzani halali Tanzania ni akina nani?Unataka kuniambia Shibuda,Cheyo na Mrema ni wapinzani halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…