Mwalimu Nyerere alimchagua Jenerali Musuguri kuwa CDF wakitokea wote Butiama

Mwalimu Nyerere alimchagua Jenerali Musuguri kuwa CDF wakitokea wote Butiama

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama.

Miaka 37 baadae, John Pombe Magufuli alimchagua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi wote wakisemekana ni Wasukuma.

Maneno yakawa mengi kila kona.

Mwisho wa siku baadae kila mmoja wetu alimpongeza Jenerali Mabeyo kwa kusimamia imara katiba ya nchi dhidi ya wahuni.

Soma Pia: Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

Uchapaji kazi wako utakubeba na wala sio undugu au ukaribu na anakotoka bosi wako!!
 
Back
Top Bottom