Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama.
Miaka 37 baadae, John Pombe Magufuli alimchagua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi wote wakisemekana ni Wasukuma.
Maneno yakawa mengi kila kona.
Mwisho wa siku baadae kila mmoja wetu alimpongeza Jenerali Mabeyo kwa kusimamia imara katiba ya nchi dhidi ya wahuni.