Hizi taarifa umfikishie Lisu maana ndio gwiji la kumbeza mwanzilishi wa taifa letuWaungwana kumhusu huyu mja wake mola yapo mengi.
Kwa ufupi haya ni maelezo bora kabisa kumhusu yeye kama binadamu na kama kiongozi.
View attachment 1974267
Huyu hakuwa na ubinafsi. Hakuwa na ubaguzi. Huyu ni tofauti kabisa na wote tuliowahi kuwa nao.
Nani kama huyu?
Tuacheni kuwalazimisha watu kutapika nyongo, tunapomlilia mwuungwana huyu katika siku yake ya kumkumbuka.
Huyo ndiyo Nyerere in a nutshell.
Baba wa taifa hili.
Shikamoo Mwaliiimuuuu
Kwahiyo mtu asiponunua gari na asijifunze kuendesha gari basi huyo mtu sio mbinafsi?
Akipunguza mshahara wake na kuzidiwa mshahara na katibu wake anakuwa mtakatifu?
Jamani hebu tuwe serious
Tutamjuza na kumjaza pale alipotindikiwaJumbe Brown karibu huku ukapate kufahamu kwanini tunaumia mioyo katika siku hii leo.
Dhamira yake kwa nchi hii,ilikuwa njema,sema wasaidizi wake aidha hawakuelewa alichomaanisha,au walikuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo kutokana na uduni wa elimu enzi hizo.Waungwana kumhusu huyu mja wake mola yapo mengi.
Kwa ufupi haya ni maelezo bora kabisa kumhusu yeye kama binadamu na kama kiongozi.
View attachment 1974267
Huyu hakuwa na ubinafsi. Hakuwa na ubaguzi. Huyu ni tofauti kabisa na wote tuliowahi kuwa nao.
Nani kama huyu?
Tuacheni kuwalazimisha watu kutapika nyongo, tunapomlilia mwuungwana huyu katika siku yake ya kumkumbuka.
Huyo ndiyo Nyerere in a nutshell.
Baba wa taifa hili.
Nimekaribia mkuu wangu...Jumbe Brown karibu huku ukapate kufahamu kwanini tunaumia mioyo katika siku hii leo.
Nimekaribia mkuu wangu...
Viongozi wote wanalo la KUJIFUNZA kutoka kwa El Commandante JKN....Hawa viongozi wetu wenye kujenga maofisi ya 19bn/- yao @ mtu na pesa wanazoziita zao, hudhani kuwa tunawajibika sote kuwakemea?
Kumbuka ni wao waliotufikisha huku ambako sasa wanatulazimisha kwenda kuyafukua makaburi ili kujifanyia tathmini kwamba ni kweli tumelaaniwa sisi?
Viongozi wetu hawa waliojawa umimi hawana la kujifunza kutoka kwa mwasisi wetu mwalimu Nyerere kiasi kuwa tukaufurahia sote utanzania wetu?
Komredi Manyerere Jackton naye anamsimulia kuwa mwalimu hakuwa mpenda mali ,mlafi na mmimi.....
Anasema kuwa Mwalimu hakupata kufahamika vyema isipokuwa labda na mkewe mama Maria Nyerere....hapa akaenda mbali kuwa kila Ukikutana na kuongea naye ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu kupitiliza(ambayo haikuonekana kwa viongozi wengi)huku akiwa mtulivu ,mcheshi na mwenye msimamo.......
Huwa nawaonaga waajabu mno kumcfia uyu babu . Ki2 gani cha maana ameifanyia tz kama co udini, ukandamizaji, udhulumati na kutaifisha mali za wageni hususani wahindi!!!! Ninyi u30 hamjui kumhusu uyu babu, waulize wa2 wa history hapa nchini kama akina Mohamed Said n.k watakupa ukweri yariyokuwa yakitendeka. Afadhali kidoogo ya Magu kuriko uyu babu.
Magu huyu wa kiwanja cha ndege Chatto, chopper juu, Ben Azory Lijenje kwapani, na lukuki kwenye viroba?
Nyerere siyo size yenu.
Kwamba kila 14 October nchi inasimama unadhani lelemama?
Hii nchi ni heri ikaongozwa na waisilamu haya yoote ya akina ben saa8, azory n.k yacngekuwepo. Waisilamu wanahofu na Mungu ata wakiristo wanaojitambua wanalijuwa ilo,,,ila wachache wenye chuki watabisha hii ki2 lakini ukweri wanaujuwa.
Sawaa nchi isimame kwa ajiri yake lakinii haitamfaa kwake marehemu ikiwa hajau2mia umri wake katika matendo mema na kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu(kusilimu),,so haitamufaa chochote.