Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

Kwahiyo mtu asiponunua gari na asijifunze kuendesha gari basi huyo mtu sio mbinafsi?

Akipunguza mshahara wake na kuzidiwa mshahara na katibu wake anakuwa mtakatifu?

Jamani hebu tuwe serious
Gharama ya kijinga ya vita uganda je ? Anapaswa apigwe mnada
 
Ndiyo mkuu. Napenda haki,,wale woote waliouawa awamu iriyopita imeniuma sana. Azory, saa8 n.k.

Waliohusika na kupotea kwa watu hawa, ni waovu sana labda kuliko hata ibilisi mwenyewe!
 
Tuseme ukweli hela haikuwepo

😂😂!

IMG_20211015_061815_344.jpg
 
Kwahiyo mtu asiponunua gari na asijifunze kuendesha gari basi huyo mtu sio mbinafsi?

Akipunguza mshahara wake na kuzidiwa mshahara na katibu wake anakuwa mtakatifu?

Jamani hebu tuwe serious
Ndio viashiria vya uzalendo tazama na dhamira yake ilikua ni nini kufanya hivyo na je aliifikia? Sio mnahubiri uzalendo kwa midomo tuu kupumbaza watu
Mwalimu alikua mzalendo kweli
 
Ulichoona wewe cha maana ni hicho? Au uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?

Tunamtafuta Moses Lijenje, pichani:

IMG_20211015_144814_546.jpg

Ukimwona pande za kwenu taarifa mkuu ndiyo ubinadamu huo ati!

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom