Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Masikhara hayo... Anafanana na nani?!
 
Sikubaliani nawe. Hakuna ufananisho katika ukweli, kwani wa sasa Si mkweli, ukweli unakuwepo kama yeye hawekwi kikaangoni (kuwasulubu wengine).
Hakuna ufananisho katika kazi. Tufanye kazi ni wimbo, lakini kama katika vitendo hutengenezi ajira ni bure.
W
Viwanda na kilimo, wakati wa kwanza alivijenga, wa sasa tangu 1995 alishiriki kuviuza na kuviua. Pengine ilikuwa kutengeneza mazingira ya kukubalika sasa.
Nyerere ni msomi, mchambuzi wa mambo na alikuwa na nia ya dhati kwa nchi, Afrika na dunia kwa ujumla ya kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya maisha ya usawa kwa wote. Wa sasa anayavuruga.
 
Kwa Sasa yawezekana usijue faida za magufuli lkn baadae akitoka madarakani ndo utajua baadae na utakuwa umechelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…