Big Shaman
Member
- Dec 22, 2014
- 22
- 73
Wanapigania katiba mpya ambayo ndio hitaji muhimu la sasa. Je kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kudai uhuru ?Kwahiyo Chadema anapigania uhuru?
Kama hawana dhamira ya kushika Dola watawezaje kupigania Katiba Mpya?Wanapigania katiba mpya ambayo ndio hitaji muhimu la sasa. Je kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kudai uhuru?
Tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi wa UN unafahamu hili ?Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
Kulikuwa na vyama viwili TANU & UTP, Baada ya kushinda ubunge akaenda UN kuishtaki UTP iachie nchi, akashtakiwa kwa uhaini na kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara, akajiweka karibu na mkoloni TANU ikashinda majimbo 70/71.
Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
Tabganyika was a protectorate! Tulikuwa tunaagaliwa na kuandaliwa kujitawala..... sema Nyerere aliwaharakisha wakiwa bado wanaitaka Tanganyika. Tanganyik was not a colonyKulikuwa na vyama viwili TANU & UTP, Baada ya kushinda ubunge akaenda UN kuishtaki UTP iachie nchi, akashtakiwa kwa uhaini na kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara, akajiweka karibu na mkoloni TANU ikashinda majimbo 70/71.
Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
Mjadala ufungwe baada ya mchango huu ndugu Robert Heriel .Hakuna nchi ya Afrika iliyoushinda Ukoloni
Kama mama ameahid katiba mpya hata mm ningejifanyajinga kama mbowe ili ipatikane
Nyie mnamuona mbowe fala hamtak awe kondoo lin maanaadamano yalileta katiba mpya? Wangap mko tayal kuandamana? Siasa za kutukana jukwaan zimewahi saidia lini?
Mbowe ametumia akili jifanye mjinga acha wakutukane ili lengo lako litimie na likitimia utakuwa na uwezo wa kushinda uchaguzi