Yaap, hii katiba imetungwa na nyerere mwenyewe, halafu akaipondaKama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais ? Asitueke watanzania kama wapofu wa macho
Yy ndio aliusika na katiba mbovu tulionae
Bichwa koroshoNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Haswaa, katuachia maradhiKama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais ? Asitueke watanzania kama wapofu wa macho
Yy ndio aliusika na katiba mbovu tulionae
Yaap, hii katiba imetungwa na nyerere mwenyewe, halafu akaiponda
Exactly, angetumia nguvu ya ushawishi wake mwishoni mwa utawala wake au baada ya kustaafu alipokuwa bado mwenyekiti wa chama. Lakini alikaa kimya.J
Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.
Pale unapojua tatizo halafu usifanye chochote unakuwa wewe ndio mwenye kubeba lawama wala sio huyo aliokosa Busara
Si tuanzie alipoishia?Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Aliuchuna Akidhani ivo mwishatatawala milele , ili yeye ndo awe hivo mwishowe nchi ikamshinda akabaki anaonea wivu wenziweExactly, angetumia nguvu ya ushawishi wake mwishoni mwa utawala wake au baada ya kustaafu alipokuwa bado mwenyekiti wa chama. Lakini alikaa kimya.
Ww usimlaumu mkoloni aliondoka sake miaka mingi kwani aliacha masharti msibadili katiba? Au alitoa masharti ya kutokaufanya maendeleokatiba iliyopo ni katiba iliwachwa na wakoloni,wakoloni waliandika katiba za kutawala watu na sio kuongoza,ni katiba kandamizi zinatoa fursa kamili kwa mtawala tu wananchi hawana haki wala fursa
Pembe tatu tenge au mstatiliNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Busara Zipi kwa kuitengeneza Katiba na kutuachia , akijua kuwa ni bomu?Nyerere alikuwa busara sana na alishajua haya yote! Yametufika! ......
Busara Zipi kwa kuitengeneza Katiba na kutuachia , akijua kuwa ni bomu?
think out of the box
Sasa kwanini Kipindi Anaindaa Hakuiandaa inavotakiw?Alituonyesha wapi udhaifu ulipo na tuufanyie kazi na akaonya...."asipokuwa na busara....."