Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,781
Yaap, hii katiba imetungwa na nyerere mwenyewe, halafu akaipondaKama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais ? Asitueke watanzania kama wapofu wa macho
Yy ndio aliusika na katiba mbovu tulionae