Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Kama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais ? Asitueke watanzania kama wapofu wa macho
Yy ndio aliusika na katiba mbovu tulionae
Yaap, hii katiba imetungwa na nyerere mwenyewe, halafu akaiponda
 
Alijua katiba yetu ni mbovu na hakuchukua hatua Zozote kurekebisha hilo ni moja kati ya mengi tutakayo mlaumu nayo.

Kusema bila kutenda wakati uwezo wa kutenda unao haisaidii lolote.
 
Nakubaliana na kauli hiyo 100% , lakini ndipo ninapopata ukakasi hapo, yeye kwa kuwa aliliona hilo mapema, angefanya la busara zaidi kama angehakikisha tunapata Katiba bora zaidi, asingeishia kusema tu. Haya maradhi ya sasa tumeyarithi kutokana na ubovu wa Katiba aliyoiasisi, kuitumia na kutuachia.

Kauli yake japo ilibeba maono yenye ukweli mwingi haitusaidii lolote kwa sasa, we are doomed hadi tutakapoamua kwa dhati tuwe na Katiba mpya
 
hahaha eti anageuka mungu,acheni kuf as nanisha mungu na *********** ajabu ajabu
 
Yeye Ndo Chanzo Cha haya yote Yanayotokea , yeye Ndo aliyehusika kwenye Katiba , then Anajifanya Nabii mwenye Maono,..

kweli wajinga ndo waliwao
 
J

Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.
Pale unapojua tatizo halafu usifanye chochote unakuwa wewe ndio mwenye kubeba lawama wala sio huyo aliokosa Busara
Exactly, angetumia nguvu ya ushawishi wake mwishoni mwa utawala wake au baada ya kustaafu alipokuwa bado mwenyekiti wa chama. Lakini alikaa kimya.
 
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Si tuanzie alipoishia?
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Exactly, angetumia nguvu ya ushawishi wake mwishoni mwa utawala wake au baada ya kustaafu alipokuwa bado mwenyekiti wa chama. Lakini alikaa kimya.
Aliuchuna Akidhani ivo mwishatatawala milele , ili yeye ndo awe hivo mwishowe nchi ikamshinda akabaki anaonea wivu wenziwe
 
katiba iliyopo ni katiba iliwachwa na wakoloni,wakoloni waliandika katiba za kutawala watu na sio kuongoza,ni katiba kandamizi zinatoa fursa kamili kwa mtawala tu wananchi hawana haki wala fursa
Ww usimlaumu mkoloni aliondoka sake miaka mingi kwani aliacha masharti msibadili katiba? Au alitoa masharti ya kutokaufanya maendeleo
Mungu anakuona kwa maneno hayo
 
Nyerere alikuwa busara sana na alishajua haya yote! Yametufika! ......
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Nyerere hayupo tena sisi tuliopo kwa sasa ndio tunatakiwa tufanye maamuzi
 
Alituonyesha wapi udhaifu ulipo na tuufanyie kazi na akaonya...."asipokuwa na busara....."
Busara Zipi kwa kuitengeneza Katiba na kutuachia , akijua kuwa ni bomu?

think out of the box
 
Back
Top Bottom