Mzee aliyajua.....na sasa tumempata pogba ambae ni busaralessMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Call a spade a spade plz.Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Nakubaliana naye kwa asilimia nyingi......Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
SIKWELI KABISA MKUU.udini pia ulimtawala saaana
ile ni obtus angle/ pembe butuNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Kwa nini hakufanya mchakato wa mabadiliko ya katiba ili impunguzie madaraka kwa kwa kipindi hicho?Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
JKN hapa ametuingiza chaka-kwa faida ya nani siku zote najiuliza! Nahisi alijua ni kwa faida ya watawala. ??????????????? Na hata vyama vingi vilipoanzishwa aliliona hili na hakuchukua hatua yeyote-alijua likatiba hili litawasaidia watawala ambao si wengine bali CCM. Likatiba hili limetumiwa na hata Jecha kufanya yake achilia mbali maraisi mbalimbali waliotufanyia. Naambiwa huwezi kuwashitaki-wengine hadi banki kuu wametoa fedha, wameidhinisha malipo kutoka escrow wanatuambia siyo pesa zetu lakini Tanesco inalipa madeni kwa kutumia pesa zetu, wanapiga mikutano ya siasa marufuku na hapo hapo wanatukejeli kuwa tutaisoma namba. Chaguzi ndio wanajua wenyewe wanaziendesha vipi.Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Umlaumu au vyovyote vile, sasa hayupo. Ila ujumbe aliyoutoa upo, swali la msingi ni tunautumiaje?Busara Zipi kwa kuitengeneza Katiba na kutuachia , akijua kuwa ni bomu?
think out of the box
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aku, mie sichangii naogopa!
Kweli kabisaSIKWELI KABISA MKUU.
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Amina.Tuiombee nchi kwa jina la YESU.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Natafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?