Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Pogba anacheza mpira anavyotaka hata kwa rafu
Mkuu Mavipunda huo ndio aina ya uchezaji wa Pogba
Y
image.jpeg
eye anatumia viuongo vyote kukaba na kumiliki mpira....Iwe ni mikono au ni miguu,muhimu mpira ubaki kwake na usimilikiwe na wachezaji wa team pinzani
 
Haya maneno aliyasema mwalimu
alipokuwa rais au baada ya kustaafu
na kuingia uraiani kuyaonja machungu
ya katiba hiyo?
 
Kama alijua katiba ni mbovu mbona alikataa kutupatia katiba mpya?
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Swali lako ni irrelevant. Kukubali au kutokukubaliana na Nyerere haimpi sifa yoyote kwa utabiri huo.

Utabiri huo aliujua tu kwani alijiwekea yeye mwenyewe mazingira ya kuwa kiongozi Mungu kwa hiyo alikuwa anajua ni jinsi gani katiba inampa power. Swali linakuja, kama ulishajua kuwa viongozi wanaefuata baada yake wangeweza tumia hiyo katiba VIBAYA basi ni kwanini hajafanya kujuhudi za kuibadilisha hiyo katiba na kuwapa wanachi wa kitanzania nguvu zaidi???? Mbali ya kuelewa ubovu wa katiba lakini katuachia watanzania tuendelee kuwa victims wa uongozi mbovu mpaka hivi leo. Kisha leo watu wanataka tumsifie Nyerere kwa utabiri wake wa hiyo katiba??? Kifupi kwa hilo Nyerere ametudhulumu Watanzania. He owed u that much!
 
Ww usimlaumu mkoloni aliondoka sake miaka mingi kwani aliacha masharti msibadili katiba? Au alitoa masharti ya kutokaufanya maendeleo
Mungu anakuona kwa maneno hayo

sijalaumu wakoloni na njia walizotumia kutawala watu wa karne zilizopita ila nasema kuwa nyenzo za kutawala nchi zinazotumiwa sasa hivi bado ni nyenzo zilokuwa zikitumiwa na wakoloni ambazo zilikuwa na nia ya kutawala watu na sio kuongoza,moja ya nyenzo hizo ni katiba ambayo imeachwa na wakoloni,viongozi wa sasa kufuata katiba hii hawana tafauti na watawala wa kikoloni
 
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
SISI TULIPOTAKA KUANDIKA KATIBA MPYA, RAISI AKATEUA MAKADA WA CCM KAMA VILE TUNATAKA KUANDIKA KATIBA YA CCM, WAJUMBE WAKAENDA NA MAWAZO YA VIONGOZI WAO. WALE WENYE MAWAZO MAZURI KAMA DR SENGONDO MVUNGI WAKAPOTEZWA. KATIKA IKABAKWA MPAKA IKABAKI KAMA KATIBA YA CHAMA SI YA WANANCHI. MAJANGA NDO HAYO SASA KATIBA NZURI ITATOKA WAPI.
 
Mkuu Mavipunda huo ndio aina ya uchezaji wa Pogba
YView attachment 448825 eye anatumia viuongo vyote kukaba na kumiliki mpira....Iwe ni mikono au ni miguu,muhimu mpira ubaki kwake na usimilikiwe na wachezaji wa team pinzani
hahaa umesomeka mkuu!!! ila anatumia nguvu nyingi atachoka kabla ya msimu kuisha..msimu ujao hata timu yake inaweza kumtoa kwa mkopo ili kunusuru hali
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?

Yule mzee na yeye alikuwa mbinafsi tu. Ubinafsi wake ni kuiacha nchi na katiba ambayo inakihakikishia chama chake kutawala daima, halafu kwa upande mwingine kujifanya kujifaragua na kaluli hiyo.

Haya aliyajua, kwa nini hakuahakikisha katiba tutakayo kuwa nayo in his absence iwe yenye checks and balances? Leo manyang'au aliyoyaamini yanafanya yanachotaka!!!

Sitaki watokwa mapovu, waje watu wenye hoja juu ya hili na si vinginevyo.

Amen.
 
Sawa, alijua hilo na hakufanya utaratibu wa kuibdilisha, naye alikuwa na shida
 
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa

huwa najiuliza sana,,km huyu mzee alijua kua katiba yetu ikimpata mtu asie na busara atageuka mungu alishindwa nn kuibadili ili iwe sawa????....

huyu mzee pamoja na sifa zote anazopewa lkn alkua na upungufu mkubwa a.k.a hakua mzalendo mpenda nchi bali mpenda chama
 
  • Thanks
Reactions: ydn
SISI TULIPOTAKA KUANDIKA KATIBA MPYA, RAISI AKATEUA MAKADA WA CCM KAMA VILE TUNATAKA KUANDIKA KATIBA YA CCM, WAJUMBE WAKAENDA NA MAWAZO YA VIONGOZI WAO. WALE WENYE MAWAZO MAZURI KAMA DR SENGONDO MVUNGI WAKAPOTEZWA. KATIKA IKABAKWA MPAKA IKABAKI KAMA KATIBA YA CHAMA SI YA WANANCHI. MAJANGA NDO HAYO SASA KATIBA NZURI ITATOKA WAPI.
Ugomvi serikali tatu tu.
 
Kosa la Nyerere ni pamoja na kuianzisha ccm na kuipa mfumo iliyonao.
Kusema "Katiba inampa mamlaka rais asiye na busara kuwa mungu" ni ufunuo wa makosa yake (Nyerere)
Kwa maana toka atoke madarakani hajawahi kutokea "Rais mwenye busara"
Tulishuhudia viwango vya chini kabisa vya busara kutoka kwa marais wetu kiasi kwamba Aliyemzabua makofi mwandishi msimamizi wa katiba yetu ndiye anapongezwa na kuzawadiwa vyeo vyenye mamlaka yaleeeeeee ya kimungu.

Mfumo wa ccem unamcorrupt mwandishi msimamizi wa katiba yetu amebaki anachekacheka tu kama zuzu kisa wanae wasipitwe na "teuzi" za mungu mtu.

Kuna "mungu" mmoja aliiuza benki yetu, akaigaragaza chali Tanesco yetu mbele ya netgroup solution!!!!! !!

mungu mwingine aliiuza/Loliondo tulipojaribu kuhoji chamoto tulikiona (Hapa namkumbuka STAN KATABALO RIP RIP RIP RIP RIP Brother)

Fedha za escrow sio za umma, kuna mungu alisikika akisema hayo, akabariki ulipaji wa capacity charges n.k n.k

Nyerere tulikuwa tunamuheshim sana lakini yeye alikuwa anatudharau mmnoo!!!!

Ngoja nisiseme mytake yangu.
 
Back
Top Bottom