Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
......POLYGONNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......POLYGONNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
PolygonNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Swali lako ni irrelevant. Kukubali au kutokukubaliana na Nyerere haimpi sifa yoyote kwa utabiri huo.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Ww usimlaumu mkoloni aliondoka sake miaka mingi kwani aliacha masharti msibadili katiba? Au alitoa masharti ya kutokaufanya maendeleo
Mungu anakuona kwa maneno hayo
SISI TULIPOTAKA KUANDIKA KATIBA MPYA, RAISI AKATEUA MAKADA WA CCM KAMA VILE TUNATAKA KUANDIKA KATIBA YA CCM, WAJUMBE WAKAENDA NA MAWAZO YA VIONGOZI WAO. WALE WENYE MAWAZO MAZURI KAMA DR SENGONDO MVUNGI WAKAPOTEZWA. KATIKA IKABAKWA MPAKA IKABAKI KAMA KATIBA YA CHAMA SI YA WANANCHI. MAJANGA NDO HAYO SASA KATIBA NZURI ITATOKA WAPI.Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Kuanzisha thread hii pia ni kuchukuwa hatua pia.Udhaifu wake umekwisha ubaini,wewe binafsi umechukua hatua gani?
hahaa umesomeka mkuu!!! ila anatumia nguvu nyingi atachoka kabla ya msimu kuisha..msimu ujao hata timu yake inaweza kumtoa kwa mkopo ili kunusuru haliMkuu Mavipunda huo ndio aina ya uchezaji wa Pogba
YView attachment 448825 eye anatumia viuongo vyote kukaba na kumiliki mpira....Iwe ni mikono au ni miguu,muhimu mpira ubaki kwake na usimilikiwe na wachezaji wa team pinzani
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Ugomvi serikali tatu tu.SISI TULIPOTAKA KUANDIKA KATIBA MPYA, RAISI AKATEUA MAKADA WA CCM KAMA VILE TUNATAKA KUANDIKA KATIBA YA CCM, WAJUMBE WAKAENDA NA MAWAZO YA VIONGOZI WAO. WALE WENYE MAWAZO MAZURI KAMA DR SENGONDO MVUNGI WAKAPOTEZWA. KATIKA IKABAKWA MPAKA IKABAKI KAMA KATIBA YA CHAMA SI YA WANANCHI. MAJANGA NDO HAYO SASA KATIBA NZURI ITATOKA WAPI.