Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Tatizo ni sie Watanzania wenyewe. Subiri muone, uzi huu huu watakuja watu watasifia yanayotokea kuwa ni sawa. Sasa mnadhani hata mwenda wazimu akivua nguo hadharani na kucheza sindimba kama kuna watu wanamshangilia unadhani ataacha?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kudadadekiiii...yaani mm nafurahi acha atukomeshe tuu...maana hii dhiki mbona bado ngoja igonge mpk maskini aombe poo!!!

bado bado bado
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nae huyu alikuwa mnafiki tu.... kwa nn hakuibadili kama ilikuwa mbaya....

Mkuu huo ndio ukweli japo wengi hawapendi kusikia hilo, yule mzee alitesa wengi sana kwa ajili ya kubaki kwenye madaraka ni mpaka aliopoona maji yamefika usawa wa kope na mambo hayaendi ndo sasa akaona aondoke almaarufu kung'atuka! maana aliona soon aibu inamjia
 
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Sasa na yeye kma aligundua hilo kwann hakubadilisha katiba?
 
Tubarikiwe wote.
Amen Shem............. Dah.... aliyebuni jina Tanzagiza namuomba atengue jina na kuomba rehema maana yanayojiri ni alichokisema/tabiri/tamani..........................

Soulmate sijui yuko wapi aje anipick tukaishi kwa Trump aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ikiwa WaTz bado tutajifanya sisi ni taifa la amani na utulivu basi sahauni kuwa na Democracy. Haya mambo yalianza na ukawa walionya na CCM walibeza leo nyoka anakula kuku wa nyumbani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Siku chache zilizopita niliistukia hii ID lakini nikashangaa kuona ni new member, what happened to your previous ID!? Soulmate huzuka humu kuja kusalimia.

Kuna haja sasa ya kuipigania nchi yetu kabla huyu uchwara hajaifanya vibaya. Hatufai kabisa huyu dikteta.

Amen Shem............. Dah.... aliyebuni jina Tanzagiza namuomba atengue jina na kuomba rehema maana yanayojiri ni alichokisema/tabiri/tamani..........................

Soulmate sijui yuko wapi aje anipick tukaishi kwa Trump aisee
 
Siku chache zilizopita niliistukia hii ID lakini nikashangaa kuona ni new member, what happened to your previous ID!? Soulmate huzuka humu kuja kusalimia.

Kuna haja sasa ya kuipigania nchi yetu kabla huyu uchwara hajaifanya vibaya. Hatufai kabisa huyu dikteta.
Nimezaliwa upya Shem......................... Tanzania ni yetu sote. Umenifanya nicheke kwa sauti
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilishangaa uliponiita Shem ikabidi niminye tu lol! Hadi ulipomtaja wa ubani ndiyo nikajua ni nani. Uniwie radhi Shem.

Nimezaliwa upya Shem......................... Tanzania ni yetu sote. Umenifanya nicheke kwa sauti
 
Mkuu huo ndio ukweli japo wengi hawapendi kusikia hilo, yule mzee alitesa wengi sana kwa ajili ya kubaki kwenye madaraka ni mpaka aliopoona maji yamefika usawa wa kope na mambo hayaendi ndo sasa akaona aondoke almaarufu kung'atuka! maana aliona soon aibu inamjia
Alipo karibia kushindwa lipa mishahara ndo akag'atuka.... Yes alifanya mengi mazuri lakini kuna aliyo shindwa ambayo ni fatal kwenye jamii yetu kama kuacha katiba ya chama kimoja wakati aliruhusu vyama vingi....
 
Nilishangaa uliponiita Shem ikabidi niminye tu lol! Hadi ulipomtaja wa ubani ndiyo nikajua ni nani. Uniwie radhi Shem.
Karibu.

Lakini kweli nawaza kwa nguvu.................. Watanzania----- Ishu ya Bashite tulilaumu Wanaume wa Dar (Thou siamini katika gender) haya kwa Tanzania in general (Mh. Nape hakuwa anatutumikia wa Dar peke yake) Wa Dar na Mikoani tunajiteteaje........... dah. Haki ya maandamano ya amani iko wapi?
- BringBackOurBenSaaNane
- BringBackBungelibe
- BringBackjustice toMaxmelo
-BringBackOUR Democracy
-HakutakiUdikteta (Sio ucheara tena maana naona amekaza vyuma)
-WanaumewaTanzania amkeni, tutawaunga mkono (Gender asside)
 
Ss wapinzani tulisema jamani hiikatiba inampa mamlaka makubwa sana laisi..tubadilishe katiba lkn nyie haohao ccm mkawakaziyenu nikuzomea nakupiga makofi hata kwamambo yakijnga sasa makofi mliyokua mnayapiga yanawagalimu.. Bola kwa mueshimiwa jk ..lkn kwahuyu mzee wavisasi mtanyooka tu labda niwashauli nyie ccm kaziyenu kwasasa muwe watu wakupiga makofi hata mkuu akijampa nyiepigeni makofi hili litawaokoa
 
Back
Top Bottom