BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Jamaa alikuwa kama Nabii. Aliyasema haya miaka 35 iliyopita sasa yamekuwa kweli. RIP Baba wa Taifa.
Tunakukumbuka mwalimu kokote iliko roho yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakukumbuka mwalimu kokote iliko roho yako
Shemeji BAK............. Umemaliza aisee. Ubarikiwe sana"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Nae huyu alikuwa mnafiki tu.... kwa nn hakuibadili kama ilikuwa mbaya....
Shemeji BAK............. Umemaliza aisee. Ubarikiwe sana
Nae huyu alikuwa mnafiki tu.... kwa nn hakuibadili kama ilikuwa mbaya....
the real picture is coming....CCM walipoambiwa wabadili katiba hawakuwa tayari wakadhani wao ndio wako salama.
Na huu ni mwanzo tu.
Sasa na yeye kma aligundua hilo kwann hakubadilisha katiba?"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Kwani madaraka yake yanatokana na nini? Acha kujichanganya.For years wengine tumesema katiba aina tatizo isipokuwa madaraka ya raisi yamepitwa na wakati na yapunguzwe.
Amen Shem............. Dah.... aliyebuni jina Tanzagiza namuomba atengue jina na kuomba rehema maana yanayojiri ni alichokisema/tabiri/tamani..........................Tubarikiwe wote.
Amen Shem............. Dah.... aliyebuni jina Tanzagiza namuomba atengue jina na kuomba rehema maana yanayojiri ni alichokisema/tabiri/tamani..........................
Soulmate sijui yuko wapi aje anipick tukaishi kwa Trump aisee
Nimezaliwa upya Shem......................... Tanzania ni yetu sote. Umenifanya nicheke kwa sautiSiku chache zilizopita niliistukia hii ID lakini nikashangaa kuona ni new member, what happened to your previous ID!? Soulmate huzuka humu kuja kusalimia.
Kuna haja sasa ya kuipigania nchi yetu kabla huyu uchwara hajaifanya vibaya. Hatufai kabisa huyu dikteta.
Nimezaliwa upya Shem......................... Tanzania ni yetu sote. Umenifanya nicheke kwa sauti
Alipo karibia kushindwa lipa mishahara ndo akag'atuka.... Yes alifanya mengi mazuri lakini kuna aliyo shindwa ambayo ni fatal kwenye jamii yetu kama kuacha katiba ya chama kimoja wakati aliruhusu vyama vingi....Mkuu huo ndio ukweli japo wengi hawapendi kusikia hilo, yule mzee alitesa wengi sana kwa ajili ya kubaki kwenye madaraka ni mpaka aliopoona maji yamefika usawa wa kope na mambo hayaendi ndo sasa akaona aondoke almaarufu kung'atuka! maana aliona soon aibu inamjia
Karibu.Nilishangaa uliponiita Shem ikabidi niminye tu lol! Hadi ulipomtaja wa ubani ndiyo nikajua ni nani. Uniwie radhi Shem.
https://www.jamiiforums.com/threads...izoea-kuishi-kwa-uongo-na-udanganyifu.639587/"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Tubarikiwe wote.