Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kinachotutafuna sasahivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe mkuu ukiwa madarakani huwezi kuona kama katiba ni mbovu, marehemu Mkapa kwenye kitabu chake alitaka kuwe tume huru ya uchaguzi lakini kwenye awamu yake alikuwa anaona tume ni huru.Kama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais? Asitueke Watanzania kama wapofu wa macho. Yeye ndio aliusika na katiba mbovu tulio nayo.
Siyo itikadi ya chama?Kwa kifupi hatuna katiba tuna andiko la katiba
Yalikuwa Dar Mungu akatende muujiza [emoji2960]Kwani yapo Dodoma? Mara ya mwisho si yalikuwa Dar
Nyerere ana share kubwa ya matatizo tuliyonayo. Sitegemei kama ataupata utakatifuKama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais? Asitueke Watanzania kama wapofu wa macho. Yeye ndio aliusika na katiba mbovu tulio nayo.
Unachokitafuta utakipata soonNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Mwalim Nyerere amefariki siku nyingi sana. Na sisi tumeshapata muda mrefu sana wa kubadilisha hiyo katiba. Ilitakiwa viongozi watafakari maneno aliyosema na kubadilisha. Kumlaumu sasa hivi ni kama kulaumu ulikoangukia badala ya ulikojikwaa. Ni kama kumlaumu baba aliyefariki na kumwachia mwanae urithi wa shamba na yeye badala ya kulima apande mazao akabaki kumlaumu baba yake ni kwanini hakulima kabisa kabla hajafa.Kwa kukosa neno bora zaidi nadhani kuna unafiki kidogo hapa. Nyerere alikuwa na nafasi ya kipekee ya kuweza kuwaachia watanzania katiba bora nakutoa vipengele vyote ambavyo kwa maoni yake yanamfanya rais awe dicteta. Kuna sababu za msingi kwake yeye kuongoza nchi changa kwa kutumia katiba hiyo hasa ubaguzi wa kikabila, rangi na dini.
Ili kuondokana na mambo hayo kulikuwa na haja ya kuwa na udicteta. Lakini baada ya miaka zaidi ya 20 ya uongozi wake uliofanya kazi nzuri sana ya kuondoa mambo hayo. angeweza kabisa kufanya marekebisho badala ya kutuachia dude hili ambalo sasa linatula na kutumika kutukandamiza.
Katiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Ni kweliSiyo itikadi ya chama?
Fikiria mambo mawili kwanza:Sasa kama alilijua hilo yeye Nyerere alifanya nini kuondoa hilo tatizo?
By the Way katiba hii hii si iliandikwa kipindi cha utawala wake?