Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale


Siku hizi ukiwa na ujasiri huo lazima ung'olewe kucha.
 
Kwa sasa hivi ukimfukuza shule mtoto wa tezi dume kibarua huna.
 
Ndiyo Mwambungu alinifukuza,nilikataa kupigwa viboko. Halafu,nilipokuwa ofisini kwa Butiku,Butiku akaongea na Kamishna wa Elimu wizarani,wakapatana nirudi shule nipewe adhabu nyingine. Nilishangaa sana,I was absolutely amazed., kwamba wale watu walikuwa wana uwezo pale pale kuniahidi kwamba sitachapwa viboko. Mimi nilidhani kwamba Headmaster ni Mungu.For the first time nikaelewa kwamba kuna hierrachy katika Serikali.
 
Mi nadhani hakuna haja ya kuogopa,mwenye kosa na awajibishwe bla kujal nafac ya mzaz wake.
 
Kwanini ulikataa kuchapwa viboko na kukubali adhabu nyingine?
 
Kwanini ulikataa kuchapwa viboko na kukubali adhabu nyingine?

..labda headmaster Mwambungu alikuwa ana viboko vikali sana.

..sasa Andrew akaona kuliko kuchapwa, bora aache shule tu.
 
Huyu mama ndio mwenyekiti wa Governing Council ya Ardhi University. Hajakisaidia sana kile chuo, atakuwa hana influence kabisa. Manake kimestagnate kabisa, hata kujenga lecture hall moja tu kimeshindwa. Kwa miundo mbinu kinazidiwa hata na tuvyuo tudogo tu twa private. Yaani university umeme ukikatika kazi kwa siku hiyo? School inayotakiwa kutoa lecture zaidi ya 20 kwa siku ina projector 4, printer moja na copier 2? Eti kuna school walimu wanashindwa kuprint eti cartridge imeisha? Naona huyu bibi hajasaidia sana pale mahala.
 
Mkuu Andrew Nyerere heshima kwako!
Tafadhali kama hutajali tushirikishe na sisi wana jamvi kisa hasa kilikuwa nini mpaka huo "mtafaruku" ukatokea baina yako na Headmaster wako?

Kiukweli waalimu walio wengi huwa wanakuwa kama na "kawivu" fulani hivi kwa watoto wa viongozi. Hawa wa "sikuhizi" hawawezi kuelewa shurba hizi toka kwa waalimu kwa kuwa "viongozi" wa leo hawawapeleki watoto wao shule za umma.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Mwalimu. Siyo hawa kina Pindi Chana ambao ndoa zimewashinda kisa madaraka.[/QUOTE

Sio busara kuwalaumu wanawake bila kujua ujuha wa wanaume zao; huyo uliyemtaja ni mwanamke ambaye asingeweza kukaa na mume juha!!
 
Kumbe akina Mgonja walikuwa mafisadi kote kote, kuna yule alikuwa katibu mkuu wizara ya Fedha yeye alikuwa anatafuna fedha na huyu wa wizara ya elimu kumbe yeye alikuwa anatafuna vibinti kwa kuwa asingeweza kuiba chaki hahahahaha
 

I miss this type of english......
Back to JAMBOFORUMS...... THERE WAS "PUNDIT"
 
Sawa kabisa ebaeban! Tabitha alipewa uwaziri kwa sababu ya ujasuri wake. Si unajua yule ni Mnyakyusa?

Ila alikija kukosana na Nyerere baada Tabitha kuanza kumdharau mumewe. Kwa vile tu alikuwa waziri!

Mama Thabita sio Mnyakyusa ni Mnyia.
 
Watoto wa Mwalimu Nyerere inaonesha wakorofi sana. Kuna mmoja alikuwa anasoma Tambaza kipindi hicho Mkuu wa Shule ni Rugeiyamu,mtoto wa Nyerere alifanya makosa na akarudishwa nyumbani aje na mzazi/wazazi.Kama kawaida Mwalimu Nyerere akatimba pale na walimu wakaogopa kuwa lazma HM afukuzwe kazi lakini ikaja tofauti maana mwalimu alimsifu mzee Ruge na mtoto akaadhibiwa. Mwalimu mkuu kwa ujasiri alioonesha alipata mafunzo na kuwa usalama wa Taifa cheo Kizuri.

Naomba Andrew Nyerere aje athibitishe hili.Kwanini watoto wa Nyerere walikuwa wakorofi sana shule.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Watoto wanne wa Mwalimu Nyerere , walitimuliwa shule,kwa nyakati tofauti. Si mchezo.
 
Kilichompandisha mama Thabiti cheo ni uamuzi wake wa kupambana na ubazazi wa waziri mmoja wa elimu wakati mama Thabitha Siwale ni mkuu wa shule ya sekondari huko Tanga. Inshort jamaa alitaka apelekewe mwanafunzi wa kulala nae. Mama Thabita kampeleka mtoto wa huyo waziri bazazi. Waziri alikasirika sana. Sasa kipindi kile system inafanya kazi. Hizo taarifa zikamfikia Nyerere ndoo kisa cha kumpandisha cheo.
 

ha ha ha,huyu mama thabitha siwale kumbe mnoma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…