Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
😃🤣😄Walimu waongezewe mishahara
Dili limebumaSi mnadharau walimu, wameamua kujiongeza......" huu mwaka huu ni mwaka wa kufosi, mtake msitake mtaniita bosi"
Ndo maana Mpwayungu Village the "nut cracker" kapotea jamvin.Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha...
Unataka kusema Mpwayungu Village ndio huyu ticha aliyejiongeza?🤣🤣🤣🤣Ndo maana Mpwayungu Village the "nut cracker" kapotea jamvin.
Hatari Kinyama!Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanya katika wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi.
#EastAfricaTV
Ni yeye tu hakuna mwengine ana ndoto za kutajirika za shortcuts badala avumilie na kuridhika na 250k take home.Unataka kusema Mpwayungu Village ndio huyu ticha aliyejiongeza?🤣🤣🤣🤣
Nilitaka kucomment kama wewe.Get rich or die trying
Yale majambazi yaliyotajwa kwenye ripoti ya CAG yana mishahara midogo?Walimu waongezewe mishahara