Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Mpwayungu njoo uone ndugu zako waalimu huku , umewapiga Majungu sana ,wameamua kujiongeza na kupiga mishe za pembeni kujiongezea kipatoWatu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanya katika wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi.
Source - EARADIO
Kwisha!
[emoji1787]Mungu wangu jamaniii, Hii post akiiona Mpwayungu Village tumekwisha sisi walimu jamaniiii Yeleuwiiiih
Huyu atakua ni mwalimu wa majambaziWatu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanya katika wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi.
Source - EARADIO
The problem is that he decided to use weapons instead of pens and papers, mbona wapo majambazi wengi tu kwenye utumishi wa umma.Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema watuhumiwa hao walikamatwa katika msako uliofanya katika wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi.
#EastAfricaTV