Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

Aisee Mpwayungu njoo uone ndugu zako waalimu huku , umewapiga Majungu sana ,wameamua kujiongeza na kupiga mishe za pembeni kujiongezea kipato
Hawataki dharau sasa hivi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Habari inawahusu watu wanne ila Mwalimu mmoja ndio habari yenyewe.
 
Duuh kwa hiyo Mwalimu kaamua kutumia taaluma ya kujiongeza na kusahau taluma yake ya halisia.
 
Huyo bilashaka kala mafunzo JKT,kaingia ualimu nasasa anatumikia taaluma mbili.
 
Mbalizi, Mbeya ukisikia msako mkali ni zile kesi za kusingiziana mara nyingi fatilia hiyo kesi mpaka mwisho utasikia mwalimu hana hatia...
 
Huyu atakua ni mwalimu wa majambazi
 
The problem is that he decided to use weapons instead of pens and papers, mbona wapo majambazi wengi tu kwenye utumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…