Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wajinga hao...Usichanjwe kabisa si lazima sababu wewe huitaji kwenda nje ya Tanzania. Huna watoto wala wajukuu nje, huna mpango wa kwenda Kariakoo kwenye watu wengi, hupandi daladala wala bajaj ya kushare.
Wewe umebarikiwa huendi kanisani na ukienda una barakoa na unakaa mita moja kati yako na wenzio. Mwenzio au mme wako hakai kwenye kadamnasi.
Sisi wahanga wa huu ugonjwa tuliolala miezi miwili tukanusurika, tunawajibika kujitenga na mikusanyiko na ndE
Usichomwe na usiende ila utaulizana swali na mwendazake na RC wa Kili.
Mbona kwa Mbowe wamechanjwa na wanaondika?watoto wa kinjekitile ngwale, hamjajifunza tu kilichomkuta baba yenu?
Baada ya miezi 6 leta mrejesho hapa wa afya yakoNimechanjwa nina wiki sijapata homa wala kifua kuuma.
Imani na maneno ya kulishwa yanatutesa wabongo. Ndo maana tukiaminishwa kitu tunachukulia ndo sala yetu. Use your commonsense do not rely on one said this one said that. ndo maana tunapukutika. Mwanakwenda zake alisema ni mafua kama menginei na mama wa Kili alionya kuhusu huu ugonjwa ila yeye kaondoka akijua kilichomchukua.
Hata kabla ya mimi, mme wangu na wanangu wote walipata chanjo mwezi wa pili, wazima na wanadunda. Mimi nilichelewa mpaka mwendazake alipoondoka ndo mama akaruhusu mashirika ya nje kuleta huduma, hivyo na mimi nimepata kupitia UN. Subiri mrejesho nitakupa.Baada ya miezi 6 leta mrejesho hapa wa afya yako
watoto wa kinjekitile ngwale, hamjajifunza tu kilichomkuta baba yenu?
Nimesikia ata wanafunzi ni lazima?Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)
Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye mambo mengine tu mtaani
Mmezoea kutupeleka peleka sana ila katika hili binafsi sikubali
Kwa ambao nimewaacha hawajanielewa hapo juu ni kwamba viongozi hawa wa wilayani huku muda mwingine wanatutesa sana na wanapaa sana majina kupitia migongo yetu watumishi
Tunachangishwa elfu tano tano za mwenge kila mwaka tena kimikwara kwelikweli... ila chaajabu mnaambiwa mchango huo ni wa hiari kuonesha uzalendo! Sasa uzalendo gani wa kulazimishwa sijui (Yale yale ya kodi ya uzalendo)
Mnapotekeleza kwa wingi jambo husika basi sifa kwa halmashauri na DC eti basi!
Ualimu na Upolisi ukipata DIVISION 4 ndio unakwenda huko, sasa sishangai maana akiliza Polisi na Walimu zipo Katikati ya kichwa na miguu, ni sawa tu.Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)