#COVID19 Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

#COVID19 Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

Usichanjwe kabisa si lazima sababu wewe huitaji kwenda nje ya Tanzania. Huna watoto wala wajukuu nje, huna mpango wa kwenda Kariakoo kwenye watu wengi, hupandi daladala wala bajaj ya kushare.

Wewe umebarikiwa huendi kanisani na ukienda una barakoa na unakaa mita moja kati yako na wenzio. Mwenzio au mme wako hakai kwenye kadamnasi.

Sisi wahanga wa huu ugonjwa tuliolala miezi miwili tukanusurika, tunawajibika kujitenga na mikusanyiko na ndE
Usichomwe na usiende ila utaulizana swali na mwendazake na RC wa Kili.
Wajinga hao...
 
watoto wa kinjekitile ngwale, hamjajifunza tu kilichomkuta baba yenu?
Mbona kwa Mbowe wamechanjwa na wanaondika?
Acha kufikiri kila anayekufa ni covid.
Hata kama ni ajali ya bodaboda unaswma dereva atakuwa alikuwa na covid.
Mko addicted sana
 
Kuna mwanasiasa nguli kachanjwa. Hata wafuasi wake watachanjwa. Hii chanjo wanaweza anza na watumishi wa umma kwa lazima halafu wananchi wote, bila kuchanjwa hupati huduma. No way to escape.
 
Kuna mwanasiasa nguli kachanjwa. Hata wafuasi wake watachanjwa. Hii chanjo wanaweza anza na watumishi wa umma kwa lazima halafu wananchi wote, bila kuchanjwa hupati huduma. No way to escape.
 
Wakiamua wote tuchanjwe basi tutachanjwa wote bila kujua.

Mimi nitakuwa wa mwisho.
 
Nimechanjwa nina wiki sijapata homa wala kifua kuuma.

Imani na maneno ya kulishwa yanatutesa wabongo. Ndo maana tukiaminishwa kitu tunachukulia ndo sala yetu. Use your commonsense do not rely on one said this one said that. ndo maana tunapukutika. Mwanakwenda zake alisema ni mafua kama menginei na mama wa Kili alionya kuhusu huu ugonjwa ila yeye kaondoka akijua kilichomchukua.
Baada ya miezi 6 leta mrejesho hapa wa afya yako
 
Upuuzi wa CCM ni huu, hakuna CCM anayezungumzia TOZO, kwao hio ni sahihi wananchi kukamuliwa yaani hujaongeza salary kwa six years mfululizo then unaweka kodi juu tena, hill kwa wapumbavu wa CCM ni sahihi na halina shida ila shida kwao ni Mbowe na CHADEMA.

Kodi za mboleo zimepanda, mafuta ya kupikia hayapatikani, sukari bei juu, kodi za line za simu, etc haya yote hawayaoni hawa hayawani wa CCM, wanachokiona ni Mbowe na CHADEMA.

Ndio akili zao zilipofikia, ukivikuta vina shida hadi kwenye kope ila vilivyo radical utadhani vina ubia na ccm.
 
Baada ya miezi 6 leta mrejesho hapa wa afya yako
Hata kabla ya mimi, mme wangu na wanangu wote walipata chanjo mwezi wa pili, wazima na wanadunda. Mimi nilichelewa mpaka mwendazake alipoondoka ndo mama akaruhusu mashirika ya nje kuleta huduma, hivyo na mimi nimepata kupitia UN. Subiri mrejesho nitakupa.
 
Hapo una chanjo ya ndui na mwanao kachanjwa majuzi chanjo ya nini sijui...
 
Sasa ni IPI faida ya hiyo chancho maana kuna taarifa hao waliopata hizo chancho tena wanapata corona watuambie chancho ni IPI faida yake kwanza.
 
Wilaya ya Ulanga napo walimu wanalazimishwa kuchangia mwenge, wakt ni jambo la hiari
 
Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)

Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye mambo mengine tu mtaani

Mmezoea kutupeleka peleka sana ila katika hili binafsi sikubali

Kwa ambao nimewaacha hawajanielewa hapo juu ni kwamba viongozi hawa wa wilayani huku muda mwingine wanatutesa sana na wanapaa sana majina kupitia migongo yetu watumishi

Tunachangishwa elfu tano tano za mwenge kila mwaka tena kimikwara kwelikweli... ila chaajabu mnaambiwa mchango huo ni wa hiari kuonesha uzalendo! Sasa uzalendo gani wa kulazimishwa sijui (Yale yale ya kodi ya uzalendo)

Mnapotekeleza kwa wingi jambo husika basi sifa kwa halmashauri na DC eti basi!
Nimesikia ata wanafunzi ni lazima?
 
Ualimu na Upolisi ukipata DIVISION 4 ndio unakwenda huko, sasa sishangai maana akiliza Polisi na Walimu zipo Katikati ya kichwa na miguu, ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom