Upuuzi wa CCM ni huu, hakuna CCM anayezungumzia TOZO, kwao hio ni sahihi wananchi kukamuliwa yaani hujaongeza salary kwa six years mfululizo then unaweka kodi juu tena, hill kwa wapumbavu wa CCM ni sahihi na halina shida ila shida kwao ni Mbowe na CHADEMA.
Kodi za mboleo zimepanda, mafuta ya kupikia hayapatikani, sukari bei juu, kodi za line za simu, etc haya yote hawayaoni hawa hayawani wa CCM, wanachokiona ni Mbowe na CHADEMA.
Ndio akili zao zilipofikia, ukivikuta vina shida hadi kwenye kope ila vilivyo radical utadhani vina ubia na ccm.