Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

Kabla ya kujua huo mtihani ulikuwaje na ulipima kitu gani ni vigumu kuhukumu sababu unaweza kuwa ni mtihani wa kifaransa unapima mwalimu aliyebobea kwenye Physical Education.
 
Back
Top Bottom