neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Anayetunga hii mitihani ni kiboko πKwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
Vp atakae pata 80,akakosa kituo huyo nae tutamsaidiaje ...Tupo katika namna ya kuonekana sisi tunamalengo mazuri tuHawa ndio walikuwa wanataka kupangiwa vituo bila interview.
Mtu anapata 8 atafundisha watoto wa nani sasa?
Kama kakosa kituo unataka umsaidiaje sasa?Vp atakae pata 80,akakosa kituo huyo nae tutamsaidiaje ...Tupo katika namna ya kuonekana sisi tunamalengo mazuri tu
Kama amefeli pia lawama zako zitamsaidiaje ?...Kama kakosa kituo unataka umsaidiaje sasa?
Atakuwa ndugu wa mtu mneneHawa ndio walikuwa wanataka kupangiwa vituo bila interview.
Mtu anapata 8 atafundisha watoto wa nani sasa?
Si Bora mitano Kuna waliomaliza 2017Mtu amekaa mtaani miaka zaidi ya mitano umpe mtiani unategemea apate 100ππ
Tusaidie ya IIIBKwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
Walikuwa wakiulizwa maswali ya aina gani .mwenye hintiMtu amekaa mtaani miaka zaidi ya mitano umpe mtiani unategemea apate 100ππ
Msingi mkuu sekondari ni IIIBWakuu naomba kuuliza hao walimu wa daraja la 3 A huwa ni shule za msingi au sekondari?