William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 96
- 74
Mwalimu mahiri katika somo la hisabati shule za msingi, anafundisha katika shule ya msingi Misitu Kivule ilala dar es salaam ila katika Kipindi hiki cha likizo atakuwa anamfuata mtoto alipo na kumfundisha.
Mzazi usimsumbue mtoto kwenda mbali na nyumbani. Huduma hii ni nzuri na ya uhakika.
Karibu.
NB OFA hii ni Kwa dar es salaam TU
Mawasiliano 0715128827
Mzazi usimsumbue mtoto kwenda mbali na nyumbani. Huduma hii ni nzuri na ya uhakika.
Karibu.
NB OFA hii ni Kwa dar es salaam TU
Mawasiliano 0715128827