MWALIMU WA KEMIA & BIOLOGIA NAOMBENI KAZI

MWALIMU WA KEMIA & BIOLOGIA NAOMBENI KAZI

Gwamanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2021
Posts
223
Reaction score
434
Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la kemia na biologia mwaka 2020 na G.P.A ya 2.9
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo nzega.
CC: Sekretarieti ya Ajira
- Or Tamisemi
 
Back
Top Bottom