Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Kikristo ni kiingereza mkuu??...hahahahaZamani tuliaminishwa kuwa Ras Simba peke yake ndiye anayeweza kumfundisha mtu kikristo na akawa fundi hasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikristo ni kiingereza mkuu??...hahahahaZamani tuliaminishwa kuwa Ras Simba peke yake ndiye anayeweza kumfundisha mtu kikristo na akawa fundi hasa...
Kwa kweli...Huyo mwalimu tunaomba amfundishe na baba jesca jaman tutamlipa
Mkuu hapa kuna mtu unamsema wewe kuwa wazi tuKujifunza lugha za kigeni darasani huwezi kuongea kwa ufasaha lugha hiyo kama mtu aliyekaa na watu wanaoongea lugha hiyo. Ndo maana bongo unakuta mtu ana phd lakini lete mdahalo wa kiingereza unaweza kucheka.hivyo kaa na wahusika wa lugha hiyo halafu jitahidi usiongee kiswahili kwa muda wewe ni kiingereza mda wote hapo lazima uwe vizuri.
hakuna wanaokubali kituKulingana na elimu yake na background yake amejitahidi sana. Au labda niseme ushamba wetu wabongo ndiyo unatufanya kuona kama amefanya kitu cha maana. Angekuwa amejifunza kijaluo tungemsifia? Lakini mimi nimegundua mushkeli fulani fulani kwenye kiingereza chake:
1. Anajaribu kuiga lafudhi na kiingereza cha black americans! Hili ni kosa kubwa katika kijifunza lugha. Au labda niseme siyo kosa kama unapatia na umekuwa nguli kwenye lugha yenyewe. Tatizo lipo pale unapokuja kujisahau na kuchanganya lafudhi. Hili nimeliona kwa mnigeria mmoja alikuwa anajifanya na slang za kimarekani lakini siku aliyokamatwa na polisi mara kikageuka kuwa pigeon english wanayozungumza West Africans.
2. Nimegundua siyo mzuri kama watu wengi wanavyodhani kwani hiyo interview aliandaliwa na alikariri mambo mengi eg historia ya maisha yake (unaweza kugundua kwa jinsi anvyoongea). Nina uhakika ukimkurupusha vuu bin ghafla na kuongea naye subject ambayo utaichagua randomly hayuko vizuri kama inavyoonekana na lafudhi yake itarudi kuwa ya kiswahili.
Wivu wa kike na mimba changa inakusumbuwa.Kulingana na elimu yake na background yake amejitahidi sana. Au labda niseme ushamba wetu wabongo ndiyo unatufanya kuona kama amefanya kitu cha maana. Angekuwa amejifunza kijaluo tungemsifia? Lakini mimi nimegundua mushkeli fulani fulani kwenye kiingereza chake:
1. Anajaribu kuiga lafudhi na kiingereza cha black americans! Hili ni kosa kubwa katika kijifunza lugha. Au labda niseme siyo kosa kama unapatia na umekuwa nguli kwenye lugha yenyewe. Tatizo lipo pale unapokuja kujisahau na kuchanganya lafudhi. Hili nimeliona kwa mnigeria mmoja alikuwa anajifanya na slang za kimarekani lakini siku aliyokamatwa na polisi mara kikageuka kuwa pigeon english wanayozungumza West Africans.
2. Nimegundua siyo mzuri kama watu wengi wanavyodhani kwani hiyo interview aliandaliwa na alikariri mambo mengi eg historia ya maisha yake (unaweza kugundua kwa jinsi anvyoongea). Nina uhakika ukimkurupusha vuu bin ghafla na kuongea naye subject ambayo utaichagua randomly hayuko vizuri kama inavyoonekana na lafudhi yake itarudi kuwa ya kiswahili.
CC. JIWEHuyo Mwalimu tunamuomba amfundishe na Ali Kiba tafadhali.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo mwalimu tunaomba amfundishe na baba jesca jaman tutamlipa
Hivi nyie makonda na abiria hamumjui dereva wenu?Huyu mwalimu akamfundishe na sizonje maana kiingereza pale ni hakuna kitu sijui Ph.D aliipataje yule bwana usikute alinunua vyeti hahahahahaha
Kumbe umeki notice hcho kituIla mapozi ya teacher mbona kama yana uJames Delicious kwa mbali. Au ndo uzungu mwingi. Ni mtazamo tu.
Una upeo mkubwa wa kuchambua mambo japokua ujamkashfu ila umenena vyema kuna vitu vidogo akikaa sawa atakua vizuri sana mkuu namkubaliKulingana na elimu yake na background yake amejitahidi sana. Au labda niseme ushamba wetu wabongo ndiyo unatufanya kuona kama amefanya kitu cha maana. Angekuwa amejifunza kijaluo tungemsifia? Lakini mimi nimegundua mushkeli fulani fulani kwenye kiingereza chake: