Mwalimu wa kiingereza wa Diamond Platnumz amefanikiwa

Kujifunza lugha za kigeni darasani huwezi kuongea kwa ufasaha lugha hiyo kama mtu aliyekaa na watu wanaoongea lugha hiyo. Ndo maana bongo unakuta mtu ana phd lakini lete mdahalo wa kiingereza unaweza kucheka.hivyo kaa na wahusika wa lugha hiyo halafu jitahidi usiongee kiswahili kwa muda wewe ni kiingereza mda wote hapo lazima uwe vizuri.
Mkuu hapa kuna mtu unamsema wewe kuwa wazi tu
 
Kulingana na elimu yake na background yake amejitahidi sana. Au labda niseme ushamba wetu wabongo ndiyo unatufanya kuona kama amefanya kitu cha maana. Angekuwa amejifunza kijaluo tungemsifia? Lakini mimi nimegundua mushkeli fulani fulani kwenye kiingereza chake:
1. Anajaribu kuiga lafudhi na kiingereza cha black americans! Hili ni kosa kubwa katika kijifunza lugha. Au labda niseme siyo kosa kama unapatia na umekuwa nguli kwenye lugha yenyewe. Tatizo lipo pale unapokuja kujisahau na kuchanganya lafudhi. Hili nimeliona kwa mnigeria mmoja alikuwa anajifanya na slang za kimarekani lakini siku aliyokamatwa na polisi mara kikageuka kuwa pigeon english wanayozungumza West Africans.
2. Nimegundua siyo mzuri kama watu wengi wanavyodhani kwani hiyo interview aliandaliwa na alikariri mambo mengi eg historia ya maisha yake (unaweza kugundua kwa jinsi anvyoongea). Nina uhakika ukimkurupusha vuu bin ghafla na kuongea naye subject ambayo utaichagua randomly hayuko vizuri kama inavyoonekana na lafudhi yake itarudi kuwa ya kiswahili.
hakuna wanaokubali kitu
 
Wivu wa kike na mimba changa inakusumbuwa.
 
Inapendeza...

Zaidi ya Ras Simba...

Chochote kile ukiwa nia na bidii unafanikiwa...

Cc: mahondaw
 
Huyu mwalimu akamfundishe na sizonje maana kiingereza pale ni hakuna kitu sijui Ph.D aliipataje yule bwana usikute alinunua vyeti hahahahahaha
 
Hivi nyie makonda na abiria hamumjui dereva wenu?
 
Kulingana na elimu yake na background yake amejitahidi sana. Au labda niseme ushamba wetu wabongo ndiyo unatufanya kuona kama amefanya kitu cha maana. Angekuwa amejifunza kijaluo tungemsifia? Lakini mimi nimegundua mushkeli fulani fulani kwenye kiingereza chake:
1. Anajaribu kuiga lafudhi na kiingereza cha black americans! Hili ni kosa kubwa katika kijifunza lugha. Au labda niseme siyo kosa kama unapatia na umekuwa nguli kwenye lugha yenyewe. Tatizo lipo pale unapokuja kujisahau na kuchanganya lafudhi. Hili nimeliona kwa mnigeria mmoja alikuwa anajifanya na slang za kimarekani lakini siku aliyokamatwa na polisi mara kikageuka kuwa pigeon english wanayozungumza West Africans.
2. Nimegundua siyo mzuri kama watu wengi wanavyodhani kwani hiyo interview aliandaliwa na alikariri mambo mengi eg historia ya maisha yake (unaweza kugundua kwa jinsi anvyoongea). Nina uhakika ukimkurupusha vuu bin ghafla na kuongea naye subject ambayo utaichagua randomly hayuko vizuri kama inavyoonekana na lafudhi yake itarudi kuwa ya kiswahili.
Una upeo mkubwa wa kuchambua mambo japokua ujamkashfu ila umenena vyema kuna vitu vidogo akikaa sawa atakua vizuri sana mkuu namkubali
 
Back
Top Bottom