Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Hii habari imekaa kiudaku udaku, ilifaa kuwa reported na wazee wa mbanga
 
Aisee mimi ndo maana niliachaga ualimu, maana mtu anakudhalilisha kizembe kabisa as if huna haki za msingi.
Zamani nikiwa mwalimu nikiwa mwalimu headmaster alikuwa akinionea sana kila siku ananisingizia kuvaa nguo fupi yaan alitaka mimi niwe navaa vitenge vinavyoburuza chini.

Kha mimi abavyo sipendi manguo marefu nilikuwa najitahidi kuvaa nguo za kati chini ya magoti, siku nyingine ndefu kabisa lakini siku nikiivaa ya hiyo chini ya magoti naandikiwa barua.
Aliendelea kunichukia niajisikia vibaya nikaanza kuchukia ualimu.

Siku moja ndo naingia darasani kufundisha, nae akaingia darasani eti anataka kuona ufundishaji wangu, kha kwa nini anifanyie surprise bila kunipa taarifa?

Moyoni nikajisemea huyu fala nini?. Kaingia kakaa dawati za nyuma. Nikaongea na wanafunzi kidogo nikawapa kazi ya kufanya wasome kitabu fulani chp fulani tutakuja kudiscuss next time. Nikawaambia leo sijisikii vizuri nikatoka nikamuacha darasani. Alijisikia vibaya sana. Alivimba balaa.

Nikaona huu upuuzi nikaomba chuo kusoma fan nyingine nikaacha kazi, am happy nafanya ninachojisikia.
 
BAK:
Chanzo nini ? Ingawa pia vyombo husika vipo vya kupeleka malalamiko.
 
Kichwa cha habari kimekaa kibaguzi, angepigwa mwanaume ingeandikwa hivyo pia?

Kulikuwa hakuna sababu ya kuandika "Mwalimu wa kike..."
Mbegu ya ubaguzi wa kijinsia anayootesha Hangaya kila uchao naona imeshaanza kuota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…