Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Why Mwamakula ambaye si sehemu ya kazi?
Yaani wewe mwalimu uliyeleta hii taarifa ni bonge la kiaz Sina Shaka ndio nyie walimu wa grade A maana akili yenu ni ndogo Sana hasa kwenye kung'amua Mambo ,ifike wakati ualimu uanzie ngazi ya diploma kwenda degree Hawa wa cheti wafutiliwe mbali kabisa .

Mwalimu mkuu ni mtu mdogo Sana Tena Sana kiasi kwamba hata mratibu kata tu Ana mmudu vizuri kabisa .

Swali polisi imeshindikana ? Afisa elimu imeshindikana ? DED imeshindikana ? CWT ngazi ya wilaya imeshindikana?TSC imeshindikana?
Nikisema wewe mwalimu ni watu mnaoamini Sana watu Kama akina mwamposa au mzee wa upako ntakuwa nakosea ? Nikisema wewe mwalimu ni aina ya watu mnaomini Sana Mambo ya hovyo kwa uharaka bila kutumia akili mfano kujiunga na qnet ntakuwa nimekosea?

Kibaya Zaid umeongelea upande mmoja hujaleta sabab za kupigwa kwa huyo mwalimu ,ingawa najua hata huyo madam angekuwa na makosa kupigwa na mwalimu mwenzie sio sahihi na hairuhusiwi kabisa .

Haya ndio matatizo ya kuruhusu mtu mwenye four ya 27-31 kwenda kusomea ualimu ,ifike mahali ualimu uheshimike Kama kada zingine, ona sasa ulivyo kilaza wewe na walimu wenzako mmeshindwa kumaliza tatizo dogo hilo had mnakimbilia kwa askofu ambae sio sehemu ya kazi .

Standing order mbona inaeleza Waz kanuni za ualimu !! Mnakwama wapi nyie walimu wa grade A ? Mnachafua hii career bwana.
 
Aiseee

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Siku hizi hakuna Waalimu kuna wavuta bange tu. Kutofautisha kati ya Policcm na Walimu ni shida sana
 
Reactions: BAK
Huyo hamisi hasira anakaa sehemu gani dar
 
Huyo hamisi hasira anakaa sehemu gani dar
Niliona kwenye mitandao just three yrs ago.

Jamaa alikuwa analalamikia polisi kuwa wamemkamata muuaji na aliwataja wenzake lakini hawaendeshi kesi wapo kimya na haijulikani hatmanya haki ya marehemu na yeye hajui anapateje pikipiki yake.

Sikumbuki mahala tukio lilipotokea. Nina interest sana na issues za kisheria
 
Wanawake waalimu wanajeuri sana mbwa hao kisa Wana mabwana wenyepesa
 
Anaongea na wanafunzi watatu mara akaanza kushambuliwa...mmh!

Wekeni taarifa vizuri kubalance mambo
 
Huyu mwalimu mkuu amekaa kiukorofi kama jina lake lenyewe, hivi wanaume mnawezaje kupiga wanawake
 
Reactions: BAK
Hujaeleweka 3yrs ago hiyo kesi ni ya nani ya mauaji uichanganye na ya mwalimu witness kupigwa, watoa taarifa mnakwama wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…