Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Lkn
Holo si swala la mahakani .Kuna aina ya upigaji kulinganisha na umri.
Sasa hao watoto umri wao ni mdogo sana, Halafu hilo li bakora nila kupigia watu wazima kabisa.
Sasa yeye anachapia vitoto vidogo tena kwa nguvu kubwa kama anaua nyoka.