Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hatari sana na ni tabia ya hovyo mnoo.Kijana mdogo anakuwa na tuhuma za kubugia thumni aka shadry al-munya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila pia angalia Muddy alikuwa mtu wa namna gani, tusiwalaumu tu maustadhi. Muddy alimlawiti mtoto Aisha akiwa na miaka 6 yeye Muddy alikuwa na miaka 52. Do you see the pattern here, halafu Mtanzania asiyejitambua anakuja kuzaa mtoto na kumpa jina la Aisha (mtoto aliyelawitiwa na Muddy) hamuoni ni kukosa akili kweli huku? Kwa wale wapuuzi wasiotaka kusoma ila wako bize kupinga ukweli, nawaomba msome haya hii hapa:Why walimu wa dini ndio wanafanya ifike mahala muangalie izi madarasa zenu inawezekana zinaongozwa na wahuni
Mimi sipo uko kwenye kukashifu dini za watu ila nasema Hawa wanao pewa kusimamia madarasa wachunguzweNi kweli ila pia angalia Muddy alikuwa mtu wa namna gani, tusiwalaumu tu maustadhi. Muddy alimlawiti mtoto Aisha akiwa na miaka 6 yeye Muddy alikuwa na miaka 52. Do you see the pattern here, halafu Mtanzania asiyejitambua anakuja kuzaa mtoto na kumpa jina la Aisha (mtoto aliyelawitiwa na Muddy) hamuoni ni kukosa akili kweli huku? Kwa wale wapuuzi wasiotaka kusoma ila wako bize kupinga ukweli, nawaomba msome haya hii hapa:
Sahih Muslim Book 008, Number 3310:
‘A’isha (Allah be pleased with her) reported: Allah’s Apostle (may peace be upon him) married me when I was six years old, and I was admitted to his house when I was nine years old.
Mkimalize mje kubisha, hayo hapo juu ni maneno aliyotamka mtoto Aisha mwenyewe kwenye kitabu cha Sahih Muslim.
cc: Kuwadi wa shetani FaizaFoxy
Mbona sijakashifu popote au wewe mwenzangu umeelewa nini?Mimi sipo uko kwenye kukashifu dini za watu ila nasema Hawa wanao pewa kusimamia madarasa wachunguzwe
Inawezekana na huko Tanga ndio michezo yaoUnakuta na yeye alishiawahi fanyiwa hivyo utotoni
Waalimu wa madrassa wawe wanawake tu. Kinachoniudhi ni viongozi wa kiislam kukaa kimya, bila kutafuta suluhisho.Hivi Waalimu wa Madrassa wataendelea mpaka lini na hii tabia ya Ulawiti wa watoto?
Mbona wanauchafua sana Uislam?
Viongozi wa kiislam mbona hamlaani hii tabia?