Mwalimu wa Madrasa na Bodaboda wafikishwa kizimbani wakishutumiwa na Ulawiti

Dogo ana upwiru sana.

Tatizo wanawake mnabania sana MBUNYE.

Achieni MBUNYE hizo watu wazibomoe.
 
Miaka 19 anakuaje mwalimu??
Wajinga ni hao wazazi ambao wamemwamini na kumkabidhi mtoto wa miaka 19 afundishe watoto wenzake yeye akiwa kama Mwalimu. Miaka 19 yani hapo barehe ndo imepamba moto afu baada ya kumpa guidance na kumsimamia apite vyema hicho kiunzi nyie mnamkabidhi kabsaa na watoto wenu ashinde nao akiwafundisha?! Baadae muanze kuilaumu serikali tena?!
 
Tuachane na issue ya udini turudi kwenye uhalisia tu kwamba mtu anaeitwa Mwalimu kwanza anakua kama mzazi, mlezi na kiongozi pia. Sasa kijana ana miaka 19 anawezaje kua Mwalimu?! Huyu atamwongoza nani?! Atamlea nani?! Yeye mwenyewe bado mtoto anahitaji kuendelea kucheza na wenzake huku akipata malezi ya wazazi na miongozo kutoka kwa wakubwa zake sasa anakuaje Mwalimu?! Nani kampa huo ualimu wa madrasa?! Vitu vingine tutailaumu tu serikali lakini kuna ujinga na upuuzi mwingi sana tunaundekeza kwenye jamii zetu.
Kobazi hao, ila watakununia hao.
 
Kwa uwezo wa Allah inawezekana, Mbona Aysha alikuwa na miaka 9 na akaweza kuwa Mke tena wa Mtume Muhammad (S.A.W)
Screenshot_2024-11-05-15-10-21-300_org.mozilla.firefox.jpg

Unamaanisha kama hivi au?
 
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa kike.

Imedaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sylivia Bitanto kuwa, mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Hamisi katika eneo la Dule B, alimwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 9.

Aidha, mwendesha mashtaka huyo Sylivia Bitanto ameendelea kudai kuwa, katika eneo hilo hilo la Dule B Bumbuli, dereva wa bodaboda Muhaji Mohmed Rajab anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye umri wa mika 11 katika eneo hilo la Dule B lililopo Halmashauri ya Bumbuli.

Hata hivyo, Mwendesha Mashtaka huyo amezidi kueleza kuwa, mbali na shauri hilo, pia mtuhumiwa Muhaji Mohmed Rajab alimlawiti mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 7 katika tukio lililotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika eneo la Dule B lililopo wilayani Lushoto.

Watuhumiwa hao waliofikishwa katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Lushoto Kavumo Mndimi aliahirisha shauri hilo hadi Disemba 5, mwaka huu litakapotajwa tena huku watuhumiwa wakiendelea kusota rumande ndani ya Ngome Kuu iliyopo wilayani Lushoto.

Source: ITV Digital
Ndio kawaida Yao hao.
 
Madrasa tena.....
 
Mkuu kina samaleko watakusomea kisomo ujue.
Sawa lakini ukweli lazima usemwe, hawa wenzetu wanapenda kuficha ukweli haswa linapokuja suala la Muddy kuwa firahuni, hawapendi kabisa kusikia hili japo ni dhahiri jamaa alikuwa si mtu mwema.
 
Back
Top Bottom