Mwalimu wa Madrasa na Bodaboda wafikishwa kizimbani wakishutumiwa na Ulawiti

Mkuu siyo kweli kama Uislamu unakata Wananchi wa Zanzibar ambao ni Waislamu wasinge waficha na kuwatetea wabakaji na walawiti.
sio kila aitae Bwana atauona ufalme wa mbinguni,
Kwani hakuna wakristo walawiti? Au unadhan kwa imani yako kila mkiriato anamatemdo mema?
 
Dini isiwe fimbo kwani hata wapagani nao wanaeza fanya uchafu na kusiwe na msingi wa Imani zao kwenye hayo wayatendayo. Kipi Bora??
1: wanapo fanya matukio ya ajabu na yakusukitisha jamii kama hivi hatua Kali zenye funzo kwao zichukuliwe dhidi Yao bila kupoteza muda kwa lengo la kurekebisha wenye dhamira mbovu na zisizo faa kama hizo

2.Dini na Imani isiwe kigezo Cha kipima aina ya maakosa na mafundisho yake,,,7bu hata uislamu,ukristo,na dini zengine Zina misingi yake ambapo mtu mwenye Imani hiyo akivunja maamrisho hayo utakua n maamuzi yake na ushetani wake
 
sio kila aitae Bwana atauona ufalme wa mbinguni,
Kwani hakuna wakristo walawiti? Au unadhan kwa imani yako kila mkiriato anamatemdo mema?
Wapo wengi tu lakini Jamii ya kikristo haiwafichi na kuwatetea kama jamii ya kiislam ya kule Zanzibar.
 
Mafya haya matukio ni mengi sana.
Wazazi kuweni makini na watoto wenu.
Wazazi wengi wanawaamini kupitiliza walimu wa Dini.

Dunia ya sasa ime badilika sana.
 
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa kike.

Imedaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sylivia Bitanto kuwa, mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Hamisi katika eneo la Dule B, alimwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 9.

Aidha, mwendesha mashtaka huyo Sylivia Bitanto ameendelea kudai kuwa, katika eneo hilo hilo la Dule B Bumbuli, dereva wa bodaboda Muhaji Mohmed Rajab anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye umri wa mika 11 katika eneo hilo la Dule B lililopo Halmashauri ya Bumbuli.

Hata hivyo, Mwendesha Mashtaka huyo amezidi kueleza kuwa, mbali na shauri hilo, pia mtuhumiwa Muhaji Mohmed Rajab alimlawiti mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 7 katika tukio lililotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika eneo la Dule B lililopo wilayani Lushoto.

Watuhumiwa hao waliofikishwa katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Lushoto Kavumo Mndimi aliahirisha shauri hilo hadi Disemba 5, mwaka huu litakapotajwa tena huku watuhumiwa wakiendelea kusota rumande ndani ya Ngome Kuu iliyopo wilayani Lushoto.

Source: ITV Digital
Wanatakeleza kauli za mashehe wao kuwaambia waishi na kuiga mifano ya kiongozi wao Muddy.
 
Kobaz katika ubora wao. Eti wao hawajui hivyo ndo ushoga wenyewe. Wao ushoga upo inçhi za magaribi na si mombasa
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa kike.

Imedaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sylivia Bitanto kuwa, mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Hamisi katika eneo la Dule B, alimwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 9.

Aidha, mwendesha mashtaka huyo Sylivia Bitanto ameendelea kudai kuwa, katika eneo hilo hilo la Dule B Bumbuli, dereva wa bodaboda Muhaji Mohmed Rajab anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye umri wa mika 11 katika eneo hilo la Dule B lililopo Halmashauri ya Bumbuli.

Hata hivyo, Mwendesha Mashtaka kokhuyo amezidi kueleza kuwa, mbali na shauri hilo, pia mtuhumiwa Muhaji Mohmed Rajab alimlawiti mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 7 katika tukio lililotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika eneo la Dule B lililopo wilayani Lushoto.

Watuhumiwa hao waliofikishwa katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Lushoto Kavumo Mndimi aliahirisha shauri hilo hadi Disemba 5, mwaka huu litakapotajwa tena huku watuhumiwa wakiendelea kusota rumande ndani ya Ngome Kuu iliyopo wilayani Lushoto.

Source: ITV Digital
Kobaz
 
Yule padri wa kanisa katoliki kule
Hao ndo waislam ninao wajua Mimi sasa

Kubaka, kulawiti, kulipua watu makanisan, kufuga majini, kuchukia watu na ubaguzi na kujiuza na ushoga
Agera ambaye alimuua yule mtoto albino ukristo unaruhusu hivyo? Au yule padri soka wa Kilimanjaro ambaye aliwarawiti watoto ukristo unaruhusu hivyo? Ysiwe mpumbavu kenge wewe
 
HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa kike.

Imedaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sylivia Bitanto kuwa, mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Hamisi katika eneo la Dule B, alimwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 9.

Aidha, mwendesha mashtaka huyo Sylivia Bitanto ameendelea kudai kuwa, katika eneo hilo hilo la Dule B Bumbuli, dereva wa bodaboda Muhaji Mohmed Rajab anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye umri wa mika 11 katika eneo hilo la Dule B lililopo Halmashauri ya Bumbuli.

Hata hivyo, Mwendesha Mashtaka huyo amezidi kueleza kuwa, mbali na shauri hilo, pia mtuhumiwa Muhaji Mohmed Rajab alimlawiti mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 7 katika tukio lililotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika eneo la Dule B lililopo wilayani Lushoto.

Watuhumiwa hao waliofikishwa katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Lushoto Kavumo Mndimi aliahirisha shauri hilo hadi Disemba 5, mwaka huu litakapotajwa tena huku watuhumiwa wakiendelea kusota rumande ndani ya Ngome Kuu iliyopo wilayani Lushoto.

Source: itv
Inawezekana kobazi hawajuagi ushoga ninini
 
Back
Top Bottom