Mwalimu wa Shule ya Msingi aliepata Div IV ya Pts 28 kidato cha nne anaandaa msomi gani hapo baadae?

Mwalimu wa Shule ya Msingi aliepata Div IV ya Pts 28 kidato cha nne anaandaa msomi gani hapo baadae?

Bora hawa wamegusa walau O-level. Unakumbuka wale walimu wa UPE(Ualimu Pasipo Elimu - jus a kid) ambao wengi wao ni std vii na mpaka leo wapo na hawa ndo wamenifundisha na leo najivunia kadegree kangu kako poa. :coffee:

UPE (Universal Primary Education) ilikuwa sera ya umoja wa mataifa wakati ule lengo likiwa kuhakisha watoto hasa kutoka nchi masikini wanapata elimu ya msingi. Kulingana na wingi wa watoto na uchache wa walimu, ilikubaliwa wale waliomaliza la saba kwenda mafunzo ya muda mfupi na baadae kuwa walimu na hii haikufanyika Tanzania pekee.
 
Yeah sidhani kama mko sahihi! Mwalimu huyu ni mzuri! Hiyo ni social stratification from anthropology point of view. Me nachukua B.sc lakini mwalimu alie nifundisha msingi hana hata diproma BUT anafaa level ile. Kwani hajui 1 2=3? Dat y hajaambiwa akafundishe olevel.
Ona red uone kwamba hayo ndio matatizo ya wewe kufundishwa na walimu waliopata division iv ya pts 28!(Eti Diproma) kazi ipo!
 
Utasikia kauli kama 'walimu ni wito'...WTF!! Failures=Teachers nijitahidi kuulewa huu mlinganyo lakini wapi natoka kapa.
Na vyeti vyenyewe vya kuazima,unafikiri wanaweza hata kudai haki zao?wakitishiwa nyau tu wanajiuliza kazi watapata wapi tena,maana mwenye vyeti alishavichukua zamaaaaaani!
 
ndo wasomi tulionao wanaishia kuropoka tu,haya mambo ndo yanavyoenda kote dunian,wakishayasikia mtaan wanayaleta vivyo hivyo bila kupima,haya waje watetee hoja yao
Sio kuropoka,hivi unajua kuna mwalimu wa shule ya msingi hajui kutofautisha kipi ni moa kati ya Mara au Musoma,Kilimanjaro au Moshi
 
Darasa langu (Dipl Ed) 1993 - enzi hiyo ikiwa ni Dar es Salaam Teachers' College na waziri wa Elimu akiwa Prof Sarungi - mtu mwenye score ya chini kupata admission ilikuwa ni Div III. And I went on to teach and am still teaching. Unataka mfano mwingine?[/QUOT]umeshindwa kuchanganua mambo.Ndo maana tuna watu wa policy planning,hawa wanapanga sera kutokana na wakati,sera ya elimu mwaka huu haiwez kufanana na ya miaka 5 mbele,hapa napata wasiwasi na uwezo wako wa kuchanganua mambo,katika kupanga sera watu wanaangalia faida kama ndo nying,na naomba nikuambie hamna sera isiyo na disadvantages,ongezeko la idadi ya watu(wanafunz),ongezeko la shule nying za secondary ndio vinabadilisha sera ya elimu,so huwez kutumia sera ya mwaka 93 ambapo tulikua na shule pamoja na wanafunz wachache kufananisha na sera ya sasa,hujanishawish jipange urudi
 
Mimi
nashindwa kuelewa kwa
nini walimu wanaofundisha shule za msingi na kidato cha nne
wanachukuliwa wale waliopata alama za chini?
1.Grade A:Mwalimu aliepata divisio iv ya pts 28 anachaguliwa kuwa
mwalimu,atamuandaa vipi mwanafunzi wakati mtu huyu uwezo wake sio mzuri?
Kwa nn tusiangalie mifumo ya kuchukua walimu kama ilivyo kwenye taasisi
za elimu ya juu?

cku nyingne kabla ujapost fanya thorough research
kwanza
NIULIZE KWA NINI.,Haya uliza kwa nini?nikumwagie mipoint
ndo uamin hata ss walm wa dv4 ya 28 twawekuwafundisha wanachuo wa
university.
 
nashangaa watu wamesahau walipotoka tokea walipokuwa na makamasi wamefundishwa na huyo mwalimu halaf sasa hv kajua kuvaa suti analeta nyodo acheni dharau hao ndio wametufisha hapa mpaka tunajua kusoma comment hayo sio mambo ya kuongelea hasa wasomi weenye akili timamu kichwani.
 
nashangaa watu wamesahau walipotoka tokea walipokuwa na makamasi wamefundishwa na huyo mwalimu halaf sasa hv kajua kuvaa suti analeta nyodo acheni dharau hao ndio wametufisha hapa mpaka tunajua kusoma comment hayo sio mambo ya kuongelea hasa wasomi weenye akili timamu kichwani.

Pamoja sana mkuu.Wametutoa mbali....
 
Rais yuko facebook... nenda kampe huu ujumbe
 
Tatizo kijana wa kitanzania akisha graduate na kupata kazi nzuri basi dharau mtindo mmoja wewe mwenye dv 1 au 2 unaweza kwenda kuchukau diploma ya uwalimu na ukawa mwalimu wa o-level?
 
cku nyingne kabla ujapost fanya thorough research
kwanza
NIULIZE KWA NINI.,Haya uliza kwa nini?nikumwagie mipoint
ndo uamin hata ss walm wa dv4 ya 28 twawekuwafundisha wanachuo wa
university.

kwa taarifa yenu hao mnaowaona na kuwaamin leo kuwa ni wasom walifundisha na walm weupe yaani wale walioishia drs la 7.
 
WAJUMBE mnatakiwa mkumbuke uyo mwalim mwenye div 4 ndio uyo aliyekufundisha wewe na leo uko JF hapa ... pamoja na wasomi wengine wengi ...
 
Baba na mama katika familia yako anaweza akawa hajui kusoma,kuandika na kuhesabu lakini unakuta ndiyo kakulipia ada mpaka ukafika ulipo. Dharau ni mbaya sana unadhani kuna kijiji kinachokosa wazee?Hao ndiyo wamezalisha wataalamu tele ktk nchi hii sasa wewe ukae chini utafakari kwa umakini.UKIMUUDHI MCHINJA MBWA LAANA ITAKURUDIA.
 
Mimi sioni haja ya kubishana hapa.ukweli uko wazi,mwl yeyote ambaye hayuko fit kitaaluma,kwanza ni mwoga wa kuulizwa maswali,pia anamnyenyekea afisa elimu wake kama kamungu kake hata akipewa nafasi ya kuchangia hoja utasikia hapo safi mkuu hata kama mkuu huyo amepotosha ukweli.vilevile mfano halisi hapa tz,hakuna mgomo wa walimu uliowahi kufanikiwa-sababu ya kutojiamini kwao. Japan wanafunzi waliofaulu kupita wengine ndio wanakuwa walimu na wanapewa mshahara mkubwa. kwa kuwa umeshaingia hapa "the home of great thinkers" usikurupuke kutetea walimu ambao ni failures kisa hawa ni ndugu,jamaa na marafiki zako. angalia migomo mingi inaanzia vyuo vikuu kwa wasomi. Tuwaambie viongozi wa nchi wabadili sera za nchi tupate elimu nzuri.
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Ni kweli mfumo wa elimu yetu una matatizo mengi sana. Si kweli kwamba mtu aliyepata division four point 28 hana uwezo wa kufundisha elimu ya msingi. Naamini kama akipata mafunzo mazuri chuoni na kazini na akajengewa mazingira mazuri ya kufundisha, akapewa vifaa bora vya kazi, akalipwa vizuri, bila shaka atafundisha wanafunzi vizuri na watapata elimu bora. Vijana wengi wenye division four ya 28 wanauwezo mzuri tu na wengine wamejiendeleza na wamefika hadi vyuo vikuu. kwa hiyo tatizo siyo division four ya point 28, tatizo ni namna gani wanakuwa supported kimafunzo, vifaa na malipo ili wafanye kazi yao vizuri na kwa moyo wa kujituma.

Wasomi wengi waliopo sasa ni zao la walimu waliokuwa na elimu ya darasa la saba (maarufu kama walimu wa UPE). hawa walimu walifanya kazi na ndio wameandaa wasomi karibu wote waliopo tanzania sasa hivi. kama wale waliweza, bila shaka mtu mwenye division four ya pts 28 itakuwa mzuri. ila awezeshe vizuri.
 
Bora hawa wamegusa walau O-level. Unakumbuka wale walimu wa UPE(Ualimu Pasipo Elimu - jus a kid) ambao wengi wao ni std vii na mpaka leo wapo na hawa ndo wamenifundisha na leo najivunia kadegree kangu kako poa. :coffee:

Aisee hawa walimu wa UPE nawaheshimu sana,ni watu ambao wanajua hasa maana ya ualimu kwa kweli najivunia kupita mikononi mwao.
 
Sio kuropoka,hivi unajua kuna mwalimu wa shule ya msingi hajui kutofautisha kipi ni moa kati ya Mara au Musoma,Kilimanjaro au Moshi

malimbukeni wa elimu mna tabu sana si ye huyo aliye kufundisha ukajua kusoma neno musoma
 
nenda shule za kata point 28 alafu umwangalie kama angelikuwa mzumbe,tabora,ihungo n.k uone ingekuwaje?fikiria tena mkuu
 
Back
Top Bottom