Mwalimu wa St. Doroth (Tabora) ashtakiwa kwa kumnajisi Mwanafunzi wa Darasa la Pili

Dah wagalatia tukimbie na tujifiche wapi?
 
Tanzania ya Sasa mkuu wa mkoa analawiti!!!
Askari wanalawiti Tena mtungo!!?
Kwann mwalimu awe nyuma!?acha watu wapigane pumb** !!! Hakuna wakuhukumiwa
 
Mungu atusaidie Wazazi, tunapitia changamoto nyingi sana kwenye malezi ya watoto wetu hasa haya matendo ya Ulawiti.

Ukiwa na roho nyepesi kama yangu, unaweza kutafuta sindano ya sumu ummalize huyo firauni kimya kimya

Inauma sana Wakuu 🙌
 
Inaumiza sana, sijui mzazi anajiskiaje huko aliko inauma, 😔
 
Mmh
 
Mwenye kujua kimo cha huyu Mdoe aweke hapa, akina mdoe ni wafupi huenda alidhani na yeye ni mtoto.
 
Dah wagalatia tukimbie na tujifiche wapi?
Hizi issue hizi zinakaaga kimchongo mchongo sana,siyo ka natetea,hapana ila Kuna wazazi ambao akili zao wakati mwingine husingizia walimu matendo haya kama kisasi baada ya kutofautiana kimtazamo au kwa jambo lolote na shule,na ukichunguza sana utakuta ni single mothers wengi ndo wenye matatizo hayo,kifupi serikali ifanye uchunguzi makini wakati inakumbana na matatizo haya,asionewe mtu,watoto nao siyo watu wa kuwaamini wakisha pangwa na mama zao Huwa ni ngumu kubisha,Mimi ninao mfano mmoja nilikuwaga na mtoto ambaye Mimi na mama yake tulikuwa na matatizo na alikuwaga anasoma boarding school,dogo likizo akienda kwa mama yake tu akirudi hataki shule ya kulipia anataka day tena kayumba ,mahesabi ni kwamba asome kayumba harafu Hela yoyote itumike kwa matumizi ya nyumbani,dogo alikuwa Alia mbele za watu anasema eti Mimi nilimuahidi ataenda kusoma kayumba,nikawa najiuliza Huyu ni pepo gani limemkuta ,kumbe kapangwa,sitetetei ila madogo wakipangwa hupangika tena hasa na mama zao,chamsingi ufanyike uchunguzi wa kina,kwanzia mawasiluano kati ya mtuhumiwa na mzazi,harafu mazazi na doctor aliyethibitisha kuwa dogo kaingiluwa, Ili kujua ka Kuna kupangana,hili ni swala zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…