Mwalimu wangu Master Herbalist Dr. Sebi akieleza namna ya ugonjwa wa UKIMWI unasababishwa na mucus au “ute”

Mwalimu wangu Master Herbalist Dr. Sebi akieleza namna ya ugonjwa wa UKIMWI unasababishwa na mucus au “ute”

Ndio nilikuwa sijamsoma Mwalim wangu RIP DR.SEBI. nilikuwa mjinga wa kuamini kitu pasipo na kukifanyia uchunguzi.
Dr Sebi on Moringa Mlonge sio dawa ya kutibu maradhi kwani Mlonge una asidi nyingi hauwezi kutibu maradhi yoyote yale.

Tangu nimesoma ule uzi nimekua mtumiaji mzuri sana wa mlonge,naona muda wa kuacha kuutumia umefika sasa..!
 
Mkuu MziziMkavu
Hivi Dr Sebi alikua na tiba ya Myopia..?
Dr. Sebi speaks on how to heal eyesight



Ukitaka kutibu maradhi ya macho ili upate kuona vizuri funga siku 28 baada ya siku 28 za kufunga. Amka asubuhi kinga mkojo wako katika chupa kisha kaupeleke hospitali mkojo kwenye maabara ukapimwe je unayo maradhi yoyote yale? kama hauna maradhi mkojo wako.

Utumie Mkojo wako fanya hivi Uwe unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu kinga mkojo wako glasi moja unywe asubuhi kabla ya kula. kitu kisha ukae kwa muda wa saa 1 bila ya kula chakula kwa muda wa siku 10 na huku uwe unakunywa maji kwa siku kunywa maji glasi 12. Ujiepushe kula vyakula vinavyouzwa madukani kama mtindi maziwa mayai na nyama za aina yoyote usile na wala chips ,karoti, na samaki wa aian yoyote ile kwa huo muda unaofunga.

Kula vyakula visivyo kobolewa na matunda na mboga za majani utapona maradhi yako ya macho. Maelezo hayo kwa mujibu wa RIP DR.SEBI.
 
binafsi nimemfahamu dr. sebi siku chache tu zilizopita baada ya mauaji ya mwanahiphop nipsey hussle.

waamerika wengi weusi wamekuja na conspiracy theory inayohusanisha mauaji haya na documentary ambayo nipsey alitaka kuitengeneza kuhusu maisha ya dr. sebi.

inadaiwa dr. sebi aliuliwa na elite wa dunia hii wanaomiliki viwanda mbalimbali vya kutengeneza madawa ya binadamu.

wanadai lecture zake kuhusu afya ya binadamu na namna ya kujikinga na kansa, ukimwi na kadhalika kungepelekea kuzorotesha biashara za wakuu wa dunia hii kuhusu dawa za binadamu.

kwa wasiofahamu ni kwamba biashara ya dawa za binadamu duniani zinazotengenezwa viwandani, inaingiza faida ya mabilioni ya dola kwa wahusika.

hapa nimekutana na uchambuzi hasi wa mzungu mmoja akimuelezea dr. sebi.

who was dr. sebi?
He was a conman, a snake oil salesman, a fraud who took advantage of desperate people and made a fortune selling bullshit herbal remedies to people with AIDS, cancer, and other diseases.

He claimed that he could cure any disease or ailment from blindness to schizophrenia to cancer to AIDS with herbal remedies and a special type of vegan diet.

The NY AG brought him to court and he had to put an ad in the paper offering refunds to any dissatisfied customers, then provide the AG with affidavits from the people who he refunded within 90 days of the ruling according to the consent decree.

He beat one case where he was charged with practicing medicine without a license, but the ONLY reason he beat it was because the prosecutor couldn’t prove that he ever made a medical diagnosis so he was acquitted.

It took mankind thousands of years to develop cures and vaccines for polio, measles, mumps, rubella, cholera, typhus, and treatments for HIV and cancer.

This guy had no formal education and didn’t even believe that HIV caused AIDS. He was a quack who made a fortune exploiting desperate people and he’s lucky that he was able to live until he was 82 without spending the majority of his life in prison for fraud.
1e556a2f927f95ebff340d091ec1d709.jpeg
 
Dr. Sebi speaks on how to heal eyesight

Ukitaka kutibu maradhi ya macho ili upate kuona vizuri funga siku 28 baada ya siku 28 za kufunga. Amka asubuhi kinga mkojo wako katika chupa kisha kaupeleke hospitali mkojo kwenye maabara ukapimwe je unayo maradhi yoyote yale?kama
hauna maradhi mkojo wako. Utumie Mkojo wako fanya hivi Uwe unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu kinga mkojo wako glasi moja unywe asubuhi kabla ya kula
kitu kisha ukae kwa muda wa saa 1 bila ya kula chakula kwa muda wa siku 10 na huku uwe unakunywa maji kwa siku kunywa maji glasi 12. Ujiepushe kula vyakula
vinavyouzwa madukani kama mtindi maziwa mayai na nyama za aina yoyote usile na wala chips ,karoti,mchicha na samaki wa aian yoyote ile kwa huo muda
unaofunga. Kula vyakula visivyo kobolewa na matunda na mboga za majani utapona maradhi yako ya macho. Maelezo hayo kwa mujibu wa RIP DR.SEBI.

Mkojo tena..!!?
Hii kali Kiongozi..!
Mkojo hauwezi kuniletea matatizo mengine kweli mkuu..?
 
Dr. Sebi speaks on rice being a poison
RIP DR.SEBI anasema kuwa Mchele,Wali Mpunga tunao kula una sumu haufai kuliwa kwa binadamu.Lakini sisi watu weusi ndio chakula chetu mimi tangu nisikie kuwa mchele una sumu sijaula karibu huu ni mwaka 4 sasa.

 
Dr. Sebi speaks on rice being a poison
RIP DR.SEBI anasema kuwa Mchele,Wali Mpunga tunao kula una sumu haufai kuliwa kwa binadamu.Lakini sisi watu weusi ndio chakula chetu mimi tangu nisikie kuwa mchele una sumu sijaula karibu huu ni mwaka 4 sasa.

Mkuu tuainishie tunavyotakiwa kuvila kwa mujibu wadokta wako dr sebi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom