Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #41
MATUNDA YANAYOFAA KULIWA KILA SIKUMkuu tuainishie tunavyotakiwa kuvila kwa mujibu wadokta wako dr sebi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu vingne apo ungejaribu kutufafanulia kwa kiswahili majina yakeMBOGA ZA MAJANI ALIZO TUSHAURI RIP DR.SEBI TUWE TUNATUMIA KILA SIKU NI HIZI HAPA CHINI
View attachment 1070921
Uko sawa unaweza kutibu UKIMWI lkn usiweze kutibu HIV.ndio kweli ninatibu ukimwi
Ninaweza kutibu maradhi ya HIV na maradhi ya ukimwi.Uko sawa unaweza kutibu UKIMWI lkn usiweze kutibu HIV.
Thanks, no comment.Ninaweza kutibu maradhi ya HIV na maradhi ya ukimwi.
USILE VYAKULA VINAVYO ANZIA NA HERUFI A,C,D NA E. KULA VYAKULA VYA HERUFI B TU.Sasa mkuu vingne apo ungejaribu kutufafanulia kwa kiswahili majina yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuacha sio kutumia kwa kiasi kwani Spinach aka mchicha asili yake ni asidi, Carroti Karoti (carrot is artificial) ni ya kutengenezwa na binadamu na kitu cha kutengenezwa na binadamu asili yake ni asidi hakifai kuliwa. Nyama ya Ng'ombe,mbuzi,kondoo, na hao kuku wa kisasa wote hawafai kuliwa ni asili yake ni asidi na ukitumia ungojee kupatwa na maradhi.
MziziMkavuRIP Dr.Sebi anasema kuwa Mmea wa Moringa Aka Mlonge haufai kimatibabu kwa sababu Mlonge asili yake ni asidi na asidi ndio chanzo cha maradhi yote.
Hakuna Njia ya kuondoa Asidi ndani ya mlonge haufai kutumiwa kama dawa. Usile Karoti,Mchicha, mtindi, maziwa, kuku wa kizungu pamoja na mayai yake, usile nyama ya ng'ombe,nyama ya mbuzi ,nyama ya kondoo,Ugali wa Dona. Na vilivyobakia kula kama kawaidaMziziMkavu
Hivi hakuna namna ya kuiondoa hiyo Acid kwenye mlonge ili tubaki na virutubisho vingine ili tuendelee kuutumia mlonge..?
Aisee..!Hakuna Njia ya kuondoa Asidi ndani ya mlonge haufai kutumiwa kama dawa. Usile Karoti,Mchicha, mtindi, maziwa, kuku wa kizungu pamoja na mayai yake, usile nyama ya ng'ombe,nyama ya mbuzi ,nyama ya kondoo,Ugali wa Dona. Na vilivyobakia kula kama kawaida
karoti,mchicha na mlonge ni hatari ki vp mkuu?Aisee..!
Basi watu tunapotoshwa sana Kiongozi.!
Kwasababu vina ACID..!karoti,mchicha na mlonge ni hatari ki vp mkuu?
Inatkuwa alikosea ni unga wa sembe kama alivyoeleza hapo juu.Aisee..!
Basi watu tunapotoshwa sana Kiongozi..!
Familia yetu iliacha kutumia unga wa sembe muda mrefu sana na kuanza kutumia unga wa dona,hiyo ni baada ya kusikia kuwa unga wa dona ndio mzuri kiafya..!
Nimetafuna sana makaroti baada ya kuambiwa kuwa yanasaidia kutibu macho (me ni myopic)...
Nimetafuna sana michicha..!
Nimekula sana mlonge..!
Lakini kumbe hivyo vyote ni hatari kwa afya ya binadamu..!!!
MziziMkavu unga wa dona una shida gani aisee...
Maana nikiwaelekeza ndugu zangu tuache kuutumia inabidi niwe na maelezo yaliyonyooka..!
Karoti ina asidi na imetengenezwa na binadamu haifai kuliwa. Mchicha una asidi nao, na mlonge una asidi nyingi haufai kuliwa unawezakukudhuru katika mwili wako.Maziwa nFresh na Mtindi unao asidi nyingi haifai kunywa Maziwa ya N'gombe wala nyama yake wala mtindi.karoti,mchicha na mlonge ni hatari ki vp mkuu?
Huu uzi hauna utafiti wowote aliofanya kisayansi huyo Dr Sebi RIP. No data no right to speak. Ukisikia wazee wengi walioishi miaka mingi watakuambia wamekula vyakula ambavyo hapa vyote vina acid. TUACHE KUPANIKISHA WATU
Kuacha kabisa sio kutumia kidogo kwani karoti haina mbegu imtengenezwa na binadamu sio Mungu na Spinach ina asidi na asidi ndio chanzo cha maradhi yote na nyama ya ngombe nyama pamoja na maziwa yake na nyama ya kuku za kizungu mchele mweupe una sumu na muhogo hivyo vyote vina madhara kwa afya ya binadamu.Nmemfatilia na nmeona ameeleza kuhusu spinach na carrot pia nyama nataka jua zaid ni kutumia kwa kias au kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app